Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Kuna mabumunda kama hawa ChoiceVariable na mama yao wanajifanya kuwadindia jamaa wa magharibu wakati uwezo wa kujitegemea hawana....sisemi ni kitu kizuri kuwategemea wahisani ila ni sera mbovu za CCM ndiyo zilizotufikisha hapa
 
Braza huu mchezo hauhitaji hasira. Tuombe tu kikao tuwaite ikulu tuweke mambo sawa. Haitupunguzii chochote.
hasira unazo wewe unaelialia ati sijui ulitoa msaada kiasi gani sasa sijui ili iweje?🤣

kwamba eti hiyo ndiyo excuse tusikukemee ukitaka kuingia chumbani kwetu ambako hustahili..
hiyo haiwezekani bana...

kwani,
kwasabb ya uhasama wa US na hao akina Osama bin laden watu wetu wa ngapi walikufa, wakati na kama Taifa, wala hatukua na maslahi yoyote na ile vita yao?

kwamba huo msaada ni muhimu zaidi ya maisha ya waTanzania wasio na hatia waliopoteza maisha yao na wengine mpaka leo ni walemavu kwasabb ya uhasama wao?

na wala kama Taifa wala hatunung"uniki, ni ungwana wa namna gani huo hebu tafakuri?🐒
 
Leo anabutubia jeshi na taifa.

Episode nyingine in making
 
Uwezo wa kuingilia mambo ya ndani wanao, si uwezo tu wa kuingilia hata kupindua serikali na kuweka wamaowataka. Hii unahitaji mifano??
 
Nilijua una akili kumbe ni chizi. Basi tuishie hapa
relax gentleman, mihemko na ghadhabu sio muhimu sana kwenye mambo muhimu na mazito kama haya kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒

ni vigumu kuishia hapa na kuacha upotoshaji ukaendelea, ni vizuri kuweka records vizuri 🐒
 
Bosi au tajiri hafokewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…