Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Balozi ni kama respond kwa hotuba ya le commandanante Chief Hangaya.
It was not necessary japo ni kazi ya balozi kuweka record straight maana wananchi wa marekani wanawajibu wa kujua pesa yao inatumikaje duniani.

Hofu yangu Raisi kama Trump atafululiza mialiko kwa maraisi wa afrika kweli anaonekana ni magufuli wa marekani full kubana matumizi and make america great again.

Nasiki mkubwa kachomoa kwenda UNGA maana media zingemzonga na maswali kuhusu democracy, enforced disappearance, involuntary abduction allegations done by kitengo.
 
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania

Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Uzuri hawajaombwa shobo zao wenyewe hawajui hii nchi ndo wataalam wa kula na kipofu ,,hela zao walete tu ila ushenzi wao wakae nao wenyewe........visenti vyenu sio mlango wa kuanza kuingilia mambo ya ndani ya nchi za watu
 
Huo msaada unasaidia Nini wananchi wa kawaida, hiyo misaada ndio inafanya tushindwe kujitegemee
 
Sasa ndio watusimange jamani?? Hawa wamarekani mbona wanaanza kuwa na Tabia za Kiswahili sasa??
 
Wewe ndiyo mjinga, wabaguzi ni nyie wazenji, kwanini hamtaki sisi tupate vitambulisho vya mkazi, tununue ardhi na kugombea nafasi za kisiasa kama nyie huku? jibu tafadhali
Mimi mwenyeji wa Ngara Kagera lakini sina hulka za kibaguzi. Kwanini vitambulisho vya kununua ardhi vionekane muhimu wakati wa awamu inayoongozwa na Samia mwenyeji wa Kizimkazi?.

Wakati wa Magu uliomba hivyo vitambulisho?. Hulka zile zile za visasi na za kibaguzi.
 
Wanachukua hela za hao wazungu wanaenda kutanulia Dubai na nyingine wanazitumia kuteka watu na kuhonga wapinzani ili wasiendelee kuhoji ujinga wanaoufanya kwa raia wasio na hatia halafu wakiulizwa wanang'aka na kuwapiga mikwara mbuzi hao hao wazungu wanaowapa hela za matanuzi.
 
Sikubaliani na wewe na hata huo mfano wa upotoshaji unaomtwisha Mwalimu Nyerere. Sasa hivi mnatumia hivi visingizio kuhalalisha maovu mnayo wafanyia waTanzania.
Mmarekani ni mwema na ni mshenzi kwa wakati huo huo. Huko Ukraine Putin anafanya unyama huu ni mwaka wa pili na huwezi kumsikia Mmarekani akifungua mdomo wake.
 
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania

Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
So what? Yaani wanatupa hiyo so called misaada ili watutawale na kutufanya mashoga? Kwanza hiyo hela is just a small portion ya thamani ya asilimali yetu wanayoendelea kuichota.
 
Mmarekani ni mwema na ni mshenzi kwa wakati huo huo. Huko Ukraine Putin anafanya unyama huu ni mwaka wa pili na huwezi kumsikia Mmarekani akifungua mdomo wake.
Mimi siwezi kumtetea chochote yeyote nje ya Tanzania. Kila nchi ina mipango yake na maslahi yake.

Lakini siyo kweli kuhusu hilo la Ukraine. Inaonyesha hufuatilii taarifa kuhusu swala hilo. Misaada aliyo pewa Ukraine hadi wakati huu kutoka Marekani huwezi kamwe kuibeza. Ni mamia ya mabilioni ya dollar. Kwa hiyo siyo kweli kusema Mmarekani hasemi chochote.
Na inaonyesha kuwa huna hata ABC kabisa za mkasa huo wa Ukraine, na kinacho piganiwa hasa ni nini.

Hili la kwetu,... acha tu; sioni sababu ya wao kujiingiza kwa maana sioni kuwa wanao msaada wowote mbali tu ya kupiga kelele.
Lakini ukweli ni kwamba huyu mama yenu huenda safari hii atatuvusha na kutuingiza ngazi ambayo bado hatujawahi kuifikia kama taifa.
 
Kwani nani alisema vinakubaliwa?

Kiswahili kinawapiga chenga au mmezoweshwa kuanzia wadogo?
Dada chutama tumsaidie Bi. mkubwa.

Hali si hali. Anajiharibia vibaya sana tena sehemu mbaya sana.

Wewe mtu mzima umeishi miaka mingi na unajua. Nyerere alivyokosana na hawa watu hali yetu uliona ilivyokuwa hadi akawa anakoswakoswa tu na mapinduzi
 
Back
Top Bottom