EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ukiwa kiongozi wa ya nchi ndio ungepata kutambua beberu ana mkono mrefu ila kwa kuwa wewe ni kimwananchi cha kawaida huwezi tamnbuaAonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Umesahau "Kwa msaada wa watu wa Marekani".Aonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Balozi ni smart lengo ni yule tu na babu ila anaanza na vidagaa kwanza kuondoa kelele kwa hii hatua wote kimyaa hakuna wa kuongea tofauti angenza kwa yule na babu hapo hawa dagaa wasingepata uzito na kelele nyingi na hii imewapa nguvu walengwa wahili zoezi. kuna watu watakuja kuwatukana hawa USA ila sote tunajuwa hatuwezi kudharau nguvu zao wako waliojaribu na tunajuwa matokeo ila wakitaka kuleta fitna ni hatari sana. Tufanye uchaguzi huru na haki tusiwape lakusema mbona hilo ndio lengo letu uhuru na haki....Mkuu umenifanya nicheke bila kupenda.
Wangesema katumwa na mabeberuuu, ndio ingekuwa nyimbo ya siku nzima😂😂
Acha mbwembwe za kwenye KeyboardKumbe ni mmoja mmoja, that's fine, nilianza kuimagine hapa Lissu, pale bwana yule mbona kusingekalika.
Let's meet at the top, cheers 🍻
Mkuu usihofu kutakuwa na mkalimani.Aonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
USA wako hapa kuwakilisha maslahi yao ya kiuchumi na kiusalama sasa unajuwa maslahi yao ya kiuchumi na kiusalama ni yapi? kumbuka wanaunganisha maslahi yao zone yote hii ya kwetu hawa watu ni hatari hizi kauli kwani wao kina nani tuache wanawaburuza nchi za waarabu wenye hela zao sembuse sisi? Sio master wetu ila master wa dunia.....How can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.
Acha mbwembwe za kwenye Keyboard
Usiongee kwa mhemuko kuna vitu vingi vya ku share na Marekani, kuna misaada, mikopo, biashara, usalama, utalii, elimu na teknology.How can I be positive on this matter!?
Who is Balozi wa Marekani in this country.
Yeye yupo hapa kwaajili ya kuwakilisha nchi yake.
USA is not our master. Wanatuzidi uchumi tu.
Aliifukuzaje?Safi kabisa balozi yupo safe hakuna cha mask wala distance. Viva Magufuli kuifukuza corona Tanzania
Hata siasa za kupigana risasi ni za kitumwa piaAonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Mbona mnajitoa akili kaingilia wapi, unajua maana na kazi za balozi.Hii inastajaabisha kweli kweli, yeye ni nani hadi awe na mamlaka ya kuingilia masuala ya kisiasa nchini kwetu? Basi na sisi balozi wetu kule Marekani afanye mpango wa kukutana na wagombea urais wote wa marekani.
Sasa Mbatia kajipekeka mwenyewe ohhh nataka kuongea na balozi ulitaka balozi asemaje?Ingependeza pia kusikia ni kitu gani walichongea sio "Just enjoying talking----" tu
Mkuu usijari mkalimani atakuwepo maana naona unaanza kuhangaikaAonane na wagombea wote!!! Who is he in this country!?
For which reason by the way!?
Tuache siasa za kitumwa.
Hivi magufuli kafukuzaje corona mkuuSafi kabisa balozi yupo safe hakuna cha mask wala distance. Viva Magufuli kuifukuza corona Tanzania