Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Tulia pini lizame umeanza kukata uno mapema mnowajinga wamefurahi kula yako mbinde mbona balozi haji kukupa chakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia pini lizame umeanza kukata uno mapema mnowajinga wamefurahi kula yako mbinde mbona balozi haji kukupa chakula
Umeshawahi kufika Marekani?Ungekuwa US ukaona madudu yao, kamwe usingesema lolote. Hao jamaa wana "double-standard" asikwambie mtu. Urafiki wao hudumu kwa yule anayekubali kukamuliwa huku akiwachekea. JPM kwao ni never. Nampenda Rais asiyekubali kukoromewa na kupangiwa la kufanya na watu kama hao ambao Rais wao mwenyewe alishapa kwamba Afrika tungepaswa kuendelea kuwa makoloni kwa kipindi kingine cha miaka 100.
Mwambieni Balozi wetu nae atoe matamko huko huko ndiye anayeyaona hayo madudu lakini hapa yeye anapiga spana tuuUngekuwa US ukaona madudu yao, kamwe usingesema lolote. Hao jamaa wana "double-standard" asikwambie mtu. Urafiki wao hudumu kwa yule anayekubali kukamuliwa huku akiwachekea. JPM kwao ni never. Nampenda Rais asiyekubali kukoromewa na kupangiwa la kufanya na watu kama hao ambao Rais wao mwenyewe alishapa kwamba Afrika tungepaswa kuendelea kuwa makoloni kwa kipindi kingine cha miaka 100.
Nawaomba watanzania wenzangu wanapenda nchi yetu tukatae ujinga wa kuandama bila sababu za msingije fujo zilitengenezwa hazikutengenezwa?
wanaodai kuibiwa na kukamata kura je ushahidi ulichomwa haukuchomwa?kama ni kweli ni kwanini uchome kama sio mchzo wa kuigiza
je mbowe,zitto,mdee,heche,lema wangepata ubunge wangesema walichokisema?
turudi kwa wananchi je miaka yote walienda kutengeneza vitambi vyao na kunywa faru john zao walishawahi kuwakumbuka wananchi?
Turudi juzi tu apo janga la corona kuna Mbunge gani kati ya hao hata alitoa fungu la posho yake hata kwa wananchi wa jimbo lake kwamba serikali ipitishe lockdown yeye atasupport wananchi wake kwa chakula ?
embu fikiri upya tena alafu uje uandike sio huo urojo wako
Kamkune basi asikie alafu mfikie ujumbe wetu... tusaidie ujumbe umfikieAnawashwa yeye, unajikuna wewe!
Yani mapimbi utawajua tu, kwa maaana mshazoea kukojolewa mikojo ya mabeberuAnawashwa yeye, unajikuna wewe!
Zamu ya Lissu kupiga spana imeisha sasa ni zamu ya kaburu kuwanyooshaMungu wabariki Wazungu
1. Wapinzani wanauwa watu kuwa kigezo cha kuona wanafichuliwa mambo yao na wakati mwingine hata kuwafukuza watu uwanachama.🚮Wapinzani ndio wanaua watu?
Wapinzani ndio wanaiba kura??
Wapinzani ndio wanatoa maelekezo kuwa wakishinda wasitangazwe??
Nani ana chuki sasa?
Ulivyo andika hapo, utadhani umefunga ndoa na Shetani.Umekandamizwa nini wewe? Internet yetu ina muhusu nini yeye? Na mbona haulizi kama tunakula?
Shitukeni huyo balozi ni ibilisi kavaa ngozi ya kkond
Mbona nyie mmekojolewa kidogo mnakata uno zaidi ya feni? subirini dude lizame kabisaYani mapimbi utawajua tu, kwa maaana mshazoea kukojolewa mikojo ya mabeberu
Mi nawapendaga tuMungu wabariki Wazungu
Mnaangamia na nani, hivi wewe ni Mtanzania kweli, kwani wamekamatwa bila ya makosa, unajua kinachoendelea, hao unaowataka wamepanga kulipua nchi, wakiachiwa hata wewe hutokuwa salama ,acha wakamatwe na hii kauli ya huyu babu wala haitutishi, serikali itaendelea kuwashikilia na kupelekwa mahakamani, sasa kaa jidanganye na ujinga wakoTusaidieni tunaangamia.
Ulichokiandika kisome tena, halafu nenda kanyonye ukalaleIsiwe anawashwa ukajikuna wewe!
Bora huo una harufu ya pesa kuliko wako unanuka vibua!Yani mapimbi utawajua tu, kwa maaana mshazoea kukojolewa mikojo ya mabeberu
Umezoea michezo yako ya kukatika au sio,Mbona nyie mmekojolewa kidogo mnakata uno zaidi ya feni? subirini dude lizame kabisa
Na wewe ni mtumwa ? Maana sijui unataka msaada gan kwa hawa watu, hawana utu hawa,utawafatisha siku ya siki wanakugeukia. Ila ndugu acha Uzwazwa hii ni nchi yetu, tunauhuru wa kuamua majambo yetu, hawa wamekosea wanatakiwa wawajibishwe kisheria, walitaka kutulipulia nchi yetu ,kwa maana ulipenda kwa walichokuwa wakitaka kukifanya
Hujui usemalo: JPM kwao ni never? Hapangiwi na watz. Marekani wanampangia. Kabudi amuite amubie kuwa sisi ni taifa huru!Ungekuwa US ukaona madudu yao, kamwe usingesema lolote. Hao jamaa wana "double-standard" asikwambie mtu. Urafiki wao hudumu kwa yule anayekubali kukamuliwa huku akiwachekea. JPM kwao ni never. Nampenda Rais asiyekubali kukoromewa na kupangiwa la kufanya na watu kama hao ambao Rais wao mwenyewe alishapa kwamba Afrika tungepaswa kuendelea kuwa makoloni kwa kipindi kingine cha miaka 100.
Kenya wanakandamiza wapinzani kama bongo??FOOL YOUHivi huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga wanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tz wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani