Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

Ungekuwa US ukaona madudu yao, kamwe usingesema lolote. Hao jamaa wana "double-standard" asikwambie mtu. Urafiki wao hudumu kwa yule anayekubali kukamuliwa huku akiwachekea. JPM kwao ni never. Nampenda Rais asiyekubali kukoromewa na kupangiwa la kufanya na watu kama hao ambao Rais wao mwenyewe alishapa kwamba Afrika tungepaswa kuendelea kuwa makoloni kwa kipindi kingine cha miaka 100.
Umeshawahi kufika Marekani?
 
Mwambieni Balozi wetu nae atoe matamko huko huko ndiye anayeyaona hayo madudu lakini hapa yeye anapiga spana tuu
 
je fujo zilitengenezwa hazikutengenezwa?
wanaodai kuibiwa na kukamata kura je ushahidi ulichomwa haukuchomwa?kama ni kweli ni kwanini uchome kama sio mchzo wa kuigiza
je mbowe,zitto,mdee,heche,lema wangepata ubunge wangesema walichokisema?
turudi kwa wananchi je miaka yote walienda kutengeneza vitambi vyao na kunywa faru john zao walishawahi kuwakumbuka wananchi?

Turudi juzi tu apo janga la corona kuna Mbunge gani kati ya hao hata alitoa fungu la posho yake hata kwa wananchi wa jimbo lake kwamba serikali ipitishe lockdown yeye atasupport wananchi wake kwa chakula ?

embu fikiri upya tena alafu uje uandike sio huo urojo wako
Nawaomba watanzania wenzangu wanapenda nchi yetu tukatae ujinga wa kuandama bila sababu za msingi
 
Wapinzani ndio wanaua watu?

Wapinzani ndio wanaiba kura??

Wapinzani ndio wanatoa maelekezo kuwa wakishinda wasitangazwe??

Nani ana chuki sasa?
1. Wapinzani wanauwa watu kuwa kigezo cha kuona wanafichuliwa mambo yao na wakati mwingine hata kuwafukuza watu uwanachama.🚮
2. Wanauwezo wa kuchoma ofisi zao na hata kujiteka kisha wasingizie serikali🚮🚮
3. Wameprint katatasi za kura kisha wanaongopa wamekamata na ushahidi wamechoma 🚮 toka link ushahidi ukachomwa kabla ya kufika sehemu husika.
Mnonyesha kwenye press kura fake zilizopigwa halafu mnonyesha karatasi haina hata tiki 😂😂
Mmeishiwa.
 
Umekandamizwa nini wewe? Internet yetu ina muhusu nini yeye? Na mbona haulizi kama tunakula?
Shitukeni huyo balozi ni ibilisi kavaa ngozi ya kkond
Ulivyo andika hapo, utadhani umefunga ndoa na Shetani.
 
Tusaidieni tunaangamia.
Mnaangamia na nani, hivi wewe ni Mtanzania kweli, kwani wamekamatwa bila ya makosa, unajua kinachoendelea, hao unaowataka wamepanga kulipua nchi, wakiachiwa hata wewe hutokuwa salama ,acha wakamatwe na hii kauli ya huyu babu wala haitutishi, serikali itaendelea kuwashikilia na kupelekwa mahakamani, sasa kaa jidanganye na ujinga wako
 
Himahima US mtusaidie katika janga hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ni mtumwa ? Maana sijui unataka msaada gan kwa hawa watu, hawana utu hawa,utawafatisha siku ya siki wanakugeukia. Ila ndugu acha Uzwazwa hii ni nchi yetu, tunauhuru wa kuamua majambo yetu, hawa wamekosea wanatakiwa wawajibishwe kisheria, walitaka kutulipulia nchi yetu ,kwa maana ulipenda kwa walichokuwa wakitaka kukifanya
 
Ungekuwa US ukaona madudu yao, kamwe usingesema lolote. Hao jamaa wana "double-standard" asikwambie mtu. Urafiki wao hudumu kwa yule anayekubali kukamuliwa huku akiwachekea. JPM kwao ni never. Nampenda Rais asiyekubali kukoromewa na kupangiwa la kufanya na watu kama hao ambao Rais wao mwenyewe alishapa kwamba Afrika tungepaswa kuendelea kuwa makoloni kwa kipindi kingine cha miaka 100.
Hujui usemalo: JPM kwao ni never? Hapangiwi na watz. Marekani wanampangia. Kabudi amuite amubie kuwa sisi ni taifa huru!
 
Vijana wa lumumba wana mpiga Vita Balozi wakati mwenyekiti wao ana kua mdogo kama piritoni na kulamba miguu ya balozi nyuma ya pazia
 
Siwezi kusahau walichowafanyia Cuba, Venezuela, Libya, Tunisia, Iran, Iraq, Afghanistan na nchi nyingine nyingi tu. Distabilization, political unrest na kuchochea migogoro na machafuko ndiyo mbinu yao. Wake Rais wa Myanmar waliachwa wakachinjana weee mpaka wakimbizi kibao hata wala hawakusaidia lolote.
 
Hivi huyu baba hanaga kazi zingine? Kwa Kenya huwaga wanaside na serikali kukandamiza wapinzani kwa Tz wanaside na wapinzani dhidi ya serikali. Wamerekani wanafiki sana jamani
Kenya wanakandamiza wapinzani kama bongo??FOOL YOU
 
Back
Top Bottom