Balozi wa Marekani Tanzania, Donald J. Wright apongeza Rais Samia, Lissu kukutana uso kwa uso

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.

Balozi amepost picha ya wawili hao kisha kuandika:

“Bravo Suluhu Samia and Tundu Lissu for sitting down together in Belgium. Penye majadiliano hapaharibiki jambo (when there is dialogue, everything can be resolved).”

274205780_1337982599958283_3797044195392349839_n.jpg
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.

Balozi amepost picha ya wawili hao kisha kuandika:

“Bravo @SuluhuSamia and @TunduALissu for sitting down together in Belgium. Penye majadiliano hapaharibiki jambo (when there is dialogue, everything can be resolved).”

View attachment 2122047
Kama ame maanisha Basi vizuri.Kujenga nchi lazima ukubali win-win situation siyo una taka chama chako tu kiwe kina shinda na unakuwa tayari kuumiza watu wengine ili upate wewe ugali wewe tu
 
Huyo balozi amwambie pia bosi wake, Joe Biden kuwa akutane na kuzungumza na Vladimir Putin na kumaliza tofauti zao pia kama alivyopongeza hapa..
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.

Balozi amepost picha ya wawili hao kisha kuandika:

“Bravo @SuluhuSamia and @TunduALissu for sitting down together in Belgium. Penye majadiliano hapaharibiki jambo (when there is dialogue, everything can be resolved).”

View attachment 2122047
Aliyepanga hiyo Ofisi ya mkutano ametia aibu. Sasa kiti cha raisi kinawekwa hapo hapo ilipo picha yake tena isiwe hata juu kidogo basi, Ahhhh, yaani hata watu tunaopeleka kufanya kazi kwenye balozi zetu ni bogus!
 
Back
Top Bottom