Balozi wa Marekani Tanzania, Donald J. Wright apongeza Rais Samia, Lissu kukutana uso kwa uso

“Bravo Suluhu Samia and Tundu Lissu for sitting down together in Belgium. Penye majadiliano hapaharibiki jambo (when there is dialogue, everything can be resolved).”
Walikuwa wanatuona ngedere sasa wanatuona tumejiongeza
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.

Balozi amepost picha ya wawili hao kisha kuandika:

“Bravo Suluhu Samia and Tundu Lissu for sitting down together in Belgium. Penye majadiliano hapaharibiki jambo (when there is dialogue, everything can be resolved).”

Safi sana na hongera kwako Mhe,Rais wa JAMHURI ya Muungano wa Tanzania, Hongera sana na pongezi nyingi kwako Mhe Tundu Lissu kwa mazungumzo haya yenye tija kwa taifa.
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.

Balozi amepost picha ya wawili hao kisha kuandika:

“Bravo Suluhu Samia and Tundu Lissu for sitting down together in Belgium. Penye majadiliano hapaharibiki jambo (when there is dialogue, everything can be resolved).”

1645112070975.png

Msaliti katika ubora wake. Dawa inachemka.
 
Wazungu wanatupenda waafrika ili sisi kwa sisi hatupendani sijui tunamatatizo gani? Kuna wapinga democrasia wamechukia sana hasa timu mawe.
1645111864558.png

King Leopold II of Belgium

''When the Congo became a Belgian colony, Leopold II recognized the potential of African industries. Under his reign, the Congolese were subjected to malnutrition, slavery, sometimes even mutilation—all so that the kingdom of Belgium might prosper from the rubber trade. In 1905, the writer Mark Twain published a satirical work in which Leopold II refers to himself as “the King with Ten Million Murders on his Soul.”''
 
Wazungu wanatupenda waafrika ili sisi kwa sisi hatupendani sijui tunamatatizo gani? Kuna wapinga democrasia wamechukia sana hasa timu mawe.

Mzungu anakupenda!????? 😀😀😀😀
 
Huyo balozi amwambie pia bosi wake, Joe Biden kuwa akutane na kuzungumza na Vladimir Putin na kumaliza tofauti zao pia kama alivyopongeza hapa..

Sema amwambie Biden akutane na Trump bhana ! Putin sio kiongozi wa upinzani Marekani !
 
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.

Balozi amepost picha ya wawili hao kisha kuandika:

“Bravo Suluhu Samia and Tundu Lissu for sitting down together in Belgium. Penye majadiliano hapaharibiki jambo (when there is dialogue, everything can be resolved).”

Huyu balozi namuelewa sana.

Miaka ya 1990 mwishoni alikuja Tanzania kufanya internship Muhimbili, alikaa nafikiri miaka mitatu. Baadae akarudi America. 2019 amekuja kama balozi.

Sijui mnaelewa hapo??
 
Thank you very much for this important piece of information. Will make followup and provide my comments.
Kuna mengine kumbe Charle anahongwa hela ili atoe knighthood. Met polisi wanafanya uchunguzi.
 
Back
Top Bottom