Balozi wa Marekani Tanzania, Donald J. Wright apongeza Rais Samia, Lissu kukutana uso kwa uso

Balozi wa Marekani Tanzania, Donald J. Wright apongeza Rais Samia, Lissu kukutana uso kwa uso

Wazungu wanatupenda waafrika ili sisi kwa sisi hatupendani sijui tunamatatizo gani? Kuna wapinga democrasia wamechukia sana hasa timu mawe.
Waafrika wamaroho Mbaya sana.
Wabinafsi na walafi.
Afrika ni bara ambalo watu Bado wanaibiana mifugo na watu wamavamia viwanja na mashamba ya watu. Watu wanafanya biashara bila utaratibu .
Watu wanaishi na kujenga bila mipango Maalumu. Watu wanapinga kura hazihesabiwa na mshindi anapatikana. Watu wanajisifu Kwa kutembea na wake au waume za watu bila kuona hata aibu. Manabii ,wachungaji ,mashekhe na maustadhi wanafumaniwa na jamii inaona ni kawaida. AFRIKA WATU WANATUMIA VYAMA VYA SIASA KAMA MAGEGE YA KIMAFYA YA KUJIPATIA MADARAKA NA KUIBIA NCHI KIMTANDAO BILA HURUMA.

Kiujumla Afrika Bado sana Kwa sababu hakuna wanalolisimamia Kwa uhakika bila kupindishapindisha Kwa maslahi binafsi.

Labda Mama anaweza akatubadilisha kidogo.
Nimeona jinsi Rais Mwinyi anavyopambana na Madudu yanayofanywa na watu kule Zanibar. Angalau Kuna Mwanga awamu hii na Ile kule ZANZIBAR.
 
Aliyepanga hiyo Ofisi ya mkutano ametia aibu. Sasa kiti cha raisi kinawekwa hapo hapo ilipo picha yake tena isiwe hata juu kidogo basi, Ahhhh, yaani hata watu tunaopeleka kufanya kazi kwenye balozi zetu ni bogus!
Mkuu hivi tuna chuo chochote cha interior designing and decorations??
 
Hakuna Mtu simwamini kama Mwafrika.
Mwafrika hata akisimamia kura TU anaiba japo sio yeye anayegombea kisa TU eti Chama chake kipate asilimia mia.
Hawaaminiki popote. Akiona Mali ya umma Mwafrika anawaza kuiba.
Akipewa ofisi anawaza kujinufaisha . Akikaribishwa kwenye pombe anawaza kulewa mpaka atapike na bia nyingine afiche mfukoni. Akitambulishwa mke wa mtu anawaza kuzini naye. Akipakana kwenye Shamba la mtu anawaza kuingia zaidi kwenye Eneo . Huyo ndio Mwafrika anayependa kuona Mwenzake anateseka.
 
Tushirikiane Mkuu tuunde chetu kama hakipo. Naona upo umuhimu mkubwa sana!
Hakika... Kule kwenye hoteli za kitalii naona South Africans ndo wanachukua hizo tenda za interior designing
 
Back
Top Bottom