John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Upo sahihiWazingu wanatupenda waafrika ili sisi kwa sisi hatupendani sijui tunamatatizo gani? Kuna wapinga democrasia wamechukua sana hasa timu mawe.
Sina imani na wazunguMungu Wabariki Wazungu
Mazezeta wengi wamechukiaWazungu wanatupenda waafrika ili sisi kwa sisi hatupendani sijui tunamatatizo gani? Kuna wapinga democrasia wamechukia sana hasa timu mawe.
Wazungu wanapenda sn amaniMungu Wabariki Wazungu
Hakuna Mtu simwamini kama Mwafrika.Sina imani na wazungu
Kama ame maanisha Basi vizuri.Kujenga nchi lazima ukubali win-win situation siyo una taka chama chako tu kiwe kina shinda na unakuwa tayari kuumiza watu wengine ili upate wewe ugali wewe tuBalozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.
Balozi amepost picha ya wawili hao kisha kuandika:
“Bravo @SuluhuSamia and @TunduALissu for sitting down together in Belgium. Penye majadiliano hapaharibiki jambo (when there is dialogue, everything can be resolved).”
View attachment 2122047
Hawataki kupokea weusi huo kwao wakimbizi wamachafukoWazungu wanapenda sn amani
Ambariki zaidi Mama Samia kwa kujishusha na kukubali utanzania na ubinadamu.Mungu Wabariki Wazungu
Aliyepanga hiyo Ofisi ya mkutano ametia aibu. Sasa kiti cha raisi kinawekwa hapo hapo ilipo picha yake tena isiwe hata juu kidogo basi, Ahhhh, yaani hata watu tunaopeleka kufanya kazi kwenye balozi zetu ni bogus!Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amepongeza kitendo cha Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu kukutana na Rais Samia Hassan Suluhu, jana tarehe Februari 16, 2022 katika Jiji la Brussels nchini Ubelgiji.
Balozi amepost picha ya wawili hao kisha kuandika:
“Bravo @SuluhuSamia and @TunduALissu for sitting down together in Belgium. Penye majadiliano hapaharibiki jambo (when there is dialogue, everything can be resolved).”
View attachment 2122047
Off point kabisa !!.Huyo balozi amwambie pia bosi wake, Joe Biden kuwa akutane na kuzungumza na Vladimir Putin na kumaliza tofauti zao pia kama alivyopongeza hapa..
Off point kabisa !!.
Lumumba mna hazina ya namna gani ya vijana ?!.
Swala ndani ya nchi unalifananisha na migogoro ya kimataifa !!
Ajabu Jidu La Mabambasi . Hawa jamaa (ccm) wakiwa humu ndani hasa bara, hawataki kusikia habari zozote za wapinzani wao. Lakini huko nje wako radhi !!.Ambariki zaidi Mama Samia kwa kujishusha na kukubali utanzania na ubinadamu.
Wewe wala si wa kubadilishana mawazo. Huna unachokijua ktk siasa za ndani wala za kimataifa. Poor UVipi? Kwani wewe ndiye balozi? Mbona unabweka kama pigili?
Eti hawa ndiyo wafuasi wa Watawala !!KWA KUMUOA LISSU?
Kwasababu huwajui hata hujawahi kuishi nao.Sina imani na wazungu