Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

View attachment 1692609

Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu.

Kazi ipo mwaka huu.
Nchi ya Tanzania kwa mahali ilipofikia ni point of no return kwenye misingi ya muasisi wa taifa hili.
Haina tena tofauti na nchi jirani zetu waliopigana wenyewe kwa wenyewe mfano Burundi DRC, Rwanda na Sudan.
Taifa limevimba kufikia kiwango cha kupasuka tu sii suala tena la muda bali ni suala la linapasukia wapi.
 
Wanawake 20 wamewakimbia na kuanzisha chama chao bungeni huku nyie wakiwalisheni kwa ruzuku kwa jinsi mlivyo bamia.....vi!
Chama chao bungeni?
Kwa katiba ipi.
Kweli wenda wazimu ni mtu kujitakia
 
Na wewe mwenyewe pia.
Mlinzi no 1 wa maisha yako ni wewe mwenyewe.
Ukiona moto unakuja kwa kasi usisubiri tamko la serikali.
Kabila alisema hivi - kama huchukui tahadhari- kaburi, lakini hata wakifa 10,000 na zaidi, serikali haifi!
 
Tanzania haitaki wananchi wake wachanje, inakuwaje wachache wakiuke msimamo wa nchi?
Nani kasema Tanzania wanainchi wake hawataki kuchanjwa wewe, nenda shule ukaelimike kwanza, uondoe ujinga ...... sio unapiga piga kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…