Balozi wa Tanzania aliyevurunda nchi ya SADC ni nani? Rais Samia apangua mabalozi akiwepo mmoja kutoka SADC

Inasemekana balozi kipilimba alimwambia mother abadilishe vipengele tata vya mkataba wa bandari mother akakachukia na kuanza kumnanga.
 

Siro bado sanaaa! Ana miaka 63 na miezi 3 sasa.
 
Kwahiyo huyo mtu wa Sadeki yeye alikuwa na shida gani? Walimhoji kujua nini kinamsibu? Pengine alikuwa hataki ubalozi.
Halafu huko Windohuku si ndio kuna pombe nzuri?
 
Rais kavunja itifaki za kidiplomasia.

Ama angemtaja balozi husika, ama angekaa kimya.

Sasa hivi mabalozi wote walio nchi za SADC wana kiwingu.
 


Lissu anasema Kipilimba ndiyo muhusika mkuu wa kumpiga risasi. Sasa amestaafu watu watakutana naye mtaani
 
Kwa kifupi, Ublozi imekuwa km posting y wanasiasa walorofi ndani ya chama, watu wa usalama wastaafu na waliovurunda, Magenerali na maofisa wa ngazi za juu wa polisi wasiotakiwa kuwepo nchini.

Hii imeharibu sana taswira ya Diplomacy kama taaluma na kazi inayoheshimika.
Sasa huyo aliyemsema mama anajua kuwa yuko jela ya kutorudi nyumbanai, ni kama invisible house arrest.
 
Muacheni mama afanye kazi. Mama anajitahidi sana. Tena ana huruma na upendo.
Kweli ana huruma na upendo.
Hata DP World aliwahurumia na kuwapenda hadi kawapa bandari.(lango la Uchumi la Tz)
 
Uingereza si mwanachama wa SADC
China si mwanachama wa SADC
Kenya si mwanachama wa SADC
Namibia ni mwanachama wa SADC
Mhe. Rais alitembelea wapi na wapi hivi karibuni kwenye ukanda wa SADC?
Inatosha au niongeze sauti?
Namibia kule kapilimba alikuwa kwenye mgomo tangu Diwani Athuman atumbuliwe inadaiwa alikuwa haendi ofisini Wala nini naona imebidi wamtoe tu

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…