Balozi wa Tanzania aliyevurunda nchi ya SADC ni nani? Rais Samia apangua mabalozi akiwepo mmoja kutoka SADC

Balozi wa Tanzania aliyevurunda nchi ya SADC ni nani? Rais Samia apangua mabalozi akiwepo mmoja kutoka SADC

Nafasi za ubalozi zinatumika kama chaka la kupeleka watu uhamishoni, hiyo motisha ya kazi itoke wapi.

Afadhali Diwani Athumani mzalendo, alikataa unafiki.
 
Namibia kule kapilimba alikuwa kwenye mgomo tangu Diwani Athuman atumbuliwe inadaiwa alikuwa haendi ofisini Wala nini naona imebidi wamtoe tu

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Chai hiyo ya jioni alksusu. Na balozi anayesemwa ni balozi wa zambia sio namibia maana raisi Hichilema anapenda watu wafanyaji kazi sio ceremonial wala bata wazee wa reception parties kugonga masuti na ma wine.
 
Je, ni wa kutoka nchi ya.....

1. DRC?

2. Afrika Kusini?

3. Botswana?

4. Zambia?

5. Malawi?

6. Msumbiji?

7. Zimbabwe?

Na kuna Marais Watatu wa nchi Tajwa hapa juu nawajua huwa hawataki Upuuzi, Uswahili, Uvivu na Upumbavu na Wanajiamini kama Raia wa Nchi zao pia wanavyojiamini.
 
Back
Top Bottom