Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Atubu sana dhambi alizoitendea hii nchiKumekucha
Karibu nyumbani baba Mchungaji Balozi Kipilimba
Shambani kwa Bwana mavuno ni mengi watenda Kazi wachache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atubu sana dhambi alizoitendea hii nchiKumekucha
Karibu nyumbani baba Mchungaji Balozi Kipilimba
Shambani kwa Bwana mavuno ni mengi watenda Kazi wachache
Sasa mkuu wa nchi anaanza kumchamba kachero mbobezi na aliwahi kuwa DGS wa TISS hizi ni dharau sana akumbuke TISS hastaafu kutoka kwenye mfumo labda afe. Alipelekwa na JPM kule kabla hajachomeka Diwani ambao wote amewatoa akihofia huenda wanampinga na kumkwamisha.Namibia ni mwanachama wa SADC,+ Kapilimba alikuwa Namibia.
= Kapilimba alikuwa haendi kazini na wala hashiriki vikao. Yupoyupo tu.
Mkuu huko vizuri sana. Yani jibu umelitoa kigreat thinker. Atakuwa tu mtaalam wa ITUingereza si mwanachama wa SADC
China si mwanachama wa SADC
Kenya si mwanachama wa SADC
Namibia ni mwanachama wa SADC
Mhe. Rais alitembelea wapi na wapi hivi karibuni kwenye ukanda wa SADC?
Inatosha au niongeze sauti?
Mimi nauhakika chakubanga huko Havana naye haendi kazini ni kuhudhuria tu carnival. Wamfuatilie.Namibia ni mwanachama wa SADC,+ Kapilimba alikuwa Namibia.
= Kapilimba alikuwa haendi kazini na wala hashiriki vikao. Yupoyupo tu.
So, ndiyo isomeke kwamba Kipilimba alikua amesusia majukumu yake?Katika hali isiyokuwa ya kawaida rais Samia ameeleza kupokea ombi kutoka kwa mmoja wa marais wa nchi za SADC akimwomba rais Samia ambadilishe balozi wa Tanzania aliyeko nchini “kwake” kutokana na utendaji wake mbovu.
“Nilishakutana na Rais mwenzangu ndani ya nchi za kiafrika, ndani ya Sadc, akaniambia nimbadilishie balozi, akisema uliyeniletea hata kazini haendi, mikutano hashiriki, yupo yupo tu, hatuelewi, Tanzania hatujawazoea hivyo, sasa labda umbadilishe, nikamwambia nimekusikia,” amesema Rais Samia .
Rais aliyasena hayo jana tatehe 16 August alipokuwa akiwaapisha mabalozi wapya ikulu.
Taarifa zilizopatikana leo tarehe 17 August zinaeleza rais Samia amefanya mabadiliko katika balozi tatu moja kati ya hizo ni ubalozi uliopo nchi ya SADC.
Je ni balozi yupi huyo aliyeombwa kumtangua? Soma habari hiyo hapa chini.
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi mabalozi watatu na kumbadilishia kituo cha kazi Balozi Mbelwa Kairuki aliyekuwa China ambaye sasa anakwenda Uingereza akichukua nafasi ya Dk Asha-rose Migiro aliyemaliza mkataba wake.
Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu usiku wa kuamkia leo Alhamisi Agosti 17, 2023 ikiwa ni saa chache tangu Rais Samia awaapishe mabalozi wapya huku akizungumzia suala la utendaji usioridhisha wa baadhi ya wanadiplomasia hao.
Katika mabadiliko hayo, waliopangiwa vituo vya kazi ni pamoja na Balozi Khamis Mussa Omar anayekwenda China akichukua nafasi ya Kairuki ambaye amehamishiwa London, Uingereza.
Rais Samia amempangia kituo cha kazi Balozi Ceaser Waitara kwenda Namibia akichukua nafasi ya Dk Modestus Kipilimba ambaye amestaafu.
Mwingine ni Balozi Bernard Kibesse aliyepangiwa kuiwakilisha Tanzania nchini Kenya, akichukua nafasi ya Balozi John Simbachawene ambaye amehamishiwa Kampala, Uganda.
we kima kweli, km amewaondoa kazini na wengine amewabadilisha viyuo ulitaka achukue hatua gani tena. We ndio mswahili mama yuko makini sana na anachapa kazi siyo kuropoka km yule marehemu wenuHuyu Bibi! Alichukua hatua gani.
Anapenda uswahili sana na michambo..
Hajui kama utendaji kazi wa watumishi umeshuka sana katika sekta mabalimbali.
Ni vile tu Afrika na waafrika wakipata kazi huwa hawajali
Huyo atakuwa Kipilimba, akalee wajukuu sasaKatika hali isiyokuwa ya kawaida rais Samia ameeleza kupokea ombi kutoka kwa mmoja wa marais wa nchi za SADC akimwomba rais Samia ambadilishe balozi wa Tanzania aliyeko nchini “kwake” kutokana na utendaji wake mbovu.
“Nilishakutana na Rais mwenzangu ndani ya nchi za kiafrika, ndani ya Sadc, akaniambia nimbadilishie balozi, akisema uliyeniletea hata kazini haendi, mikutano hashiriki, yupo yupo tu, hatuelewi, Tanzania hatujawazoea hivyo, sasa labda umbadilishe, nikamwambia nimekusikia,” amesema Rais Samia .
Rais aliyasena hayo jana tatehe 16 August alipokuwa akiwaapisha mabalozi wapya ikulu.
Taarifa zilizopatikana leo tarehe 17 August zinaeleza rais Samia amefanya mabadiliko katika balozi tatu moja kati ya hizo ni ubalozi uliopo nchi ya SADC.
Je ni balozi yupi huyo aliyeombwa kumtangua? Soma habari hiyo hapa chini.
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi mabalozi watatu na kumbadilishia kituo cha kazi Balozi Mbelwa Kairuki aliyekuwa China ambaye sasa anakwenda Uingereza akichukua nafasi ya Dk Asha-rose Migiro aliyemaliza mkataba wake.
Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu usiku wa kuamkia leo Alhamisi Agosti 17, 2023 ikiwa ni saa chache tangu Rais Samia awaapishe mabalozi wapya huku akizungumzia suala la utendaji usioridhisha wa baadhi ya wanadiplomasia hao.
Katika mabadiliko hayo, waliopangiwa vituo vya kazi ni pamoja na Balozi Khamis Mussa Omar anayekwenda China akichukua nafasi ya Kairuki ambaye amehamishiwa London, Uingereza.
Rais Samia amempangia kituo cha kazi Balozi Ceaser Waitara kwenda Namibia akichukua nafasi ya Dk Modestus Kipilimba ambaye amestaafu.
Mwingine ni Balozi Bernard Kibesse aliyepangiwa kuiwakilisha Tanzania nchini Kenya, akichukua nafasi ya Balozi John Simbachawene ambaye amehamishiwa Kampala, Uganda.
mswahili mamako we kenge, kumteua si hoja, akivurunda anaondolewa na wameondolewa wale wazembeNa si yeye ndio alimteua? Huyu mama ni Over Mswahili sana
DG wa TISS kwa rais ni mtu mdogo sanaSasa mkuu wa nchi anaanza kumchamba kachero mbobezi na aliwahi kuwa DGS wa TISS hizi ni dharau sana akumbuke TISS hastaafu kutoka kwenye mfumo labda afe. Alipelekwa na JPM kule kabla hajachomeka Diwani ambao wote amewatoa akihofia huenda wanampinga na kumkwamisha.
From Ocean drive, ile miguu inanyooshwa nyooshwa hadi pande za Bayside Marketplace, mara mtu kama Chakubanga...copyright, but kila mtu na time zake sasa sijui ndiye.Mimi nauhakika chakubanga huko Havana naye haendi kazini ni kuhudhuria tu carnival. Wamfuatilie.
Kwa hiyo pale Maeneo ya mtakatifu Petro atakuwa anaenda au tunabaki mtaani tuKumekucha
Karibu nyumbani baba Mchungaji Balozi Kipilimba
Shambani kwa Bwana mavuno ni mengi watenda Kazi wachache
Anaweza kuwa yule wa Namibia 🤣🤣Katika hali isiyokuwa ya kawaida rais Samia ameeleza kupokea ombi kutoka kwa mmoja wa marais wa nchi za SADC akimwomba rais Samia ambadilishe balozi wa Tanzania aliyeko nchini “kwake” kutokana na utendaji wake mbovu.
“Nilishakutana na Rais mwenzangu ndani ya nchi za kiafrika, ndani ya Sadc, akaniambia nimbadilishie balozi, akisema uliyeniletea hata kazini haendi, mikutano hashiriki, yupo yupo tu, hatuelewi, Tanzania hatujawazoea hivyo, sasa labda umbadilishe, nikamwambia nimekusikia,” amesema Rais Samia .
Rais aliyasena hayo jana tatehe 16 August alipokuwa akiwaapisha mabalozi wapya ikulu.
Taarifa zilizopatikana leo tarehe 17 August zinaeleza rais Samia amefanya mabadiliko katika balozi tatu moja kati ya hizo ni ubalozi uliopo nchi ya SADC.
Je ni balozi yupi huyo aliyeombwa kumtangua? Soma habari hiyo hapa chini.
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi mabalozi watatu na kumbadilishia kituo cha kazi Balozi Mbelwa Kairuki aliyekuwa China ambaye sasa anakwenda Uingereza akichukua nafasi ya Dk Asha-rose Migiro aliyemaliza mkataba wake.
Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu usiku wa kuamkia leo Alhamisi Agosti 17, 2023 ikiwa ni saa chache tangu Rais Samia awaapishe mabalozi wapya huku akizungumzia suala la utendaji usioridhisha wa baadhi ya wanadiplomasia hao.
Katika mabadiliko hayo, waliopangiwa vituo vya kazi ni pamoja na Balozi Khamis Mussa Omar anayekwenda China akichukua nafasi ya Kairuki ambaye amehamishiwa London, Uingereza.
Rais Samia amempangia kituo cha kazi Balozi Ceaser Waitara kwenda Namibia akichukua nafasi ya Dk Modestus Kipilimba ambaye amestaafu.
Mwingine ni Balozi Bernard Kibesse aliyepangiwa kuiwakilisha Tanzania nchini Kenya, akichukua nafasi ya Balozi John Simbachawene ambaye amehamishiwa Kampala, Uganda.
🤣🤣🤣🤣🤣 njaa kali !!!Pia hii ya ubalozi imempita mtu wetu Pascal Mayalla?
Angekuwa anapwaya Slaa et all wangekuwa uraiani,na wewe karopoke uone 😂😂huyu bibi mbona hajisemei yeye anavyopwaya kwenye hicho kiti? mbona nchi inaenda kwenye autopilot au hajui?
Karibu City Harvest Church Bahari beach!Kwa hiyo pale Maeneo ya mtakatifu Petro atakuwa anaenda au tunabaki mtaani tu
hasa kutokana na umri na magonjwaRais anaweza kukuteua ukiwa kwenye top form na baada ya muda uka flop.
Hilo hutokea sana maofisini