Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
balozi anaenda tanga ,gari iliyomgonga inatoka tanga imebeba makaa ya mawe,makaa ya mawe siku zote yanatokea mbinga na njombe kuelekea Kenya,ongezea pia gari Yake iliungua kabisa huku tuliambiwa kuwa walikuta nguo zake inakuwaje gari iungue tiii halafu tuzikute NGUO,ongezea na hii kwamba mtu alisimama kuchungulia wakati gari inaungua maajabu,ongezea hii gari iliyomgonga haikuwa na namba wala dereva 😄😄😄😄 ,watu wa Kwanza kufika walikuwa mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa kabla ya TRAFFIC 🤣🤣🤣 anayesoma hii comment yangu arudie kusoma mara mbili halafu taratibu huku wewe mtanzania mwenzangu ukijiuliza maswali madogo madogo