Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe Siri za msata mkuu na gest za paleMkata pameanza kunywa damu ya December
Yes, 1,200 cc.Huyo farasi wako wa kimarekani ni Harley Davidson?
Mmh Hilo nalo nenoHii gahawa imewekwa chumvi sana...wabongo nawanyooshea mikono kwa kutunga stori. Kwenye stori yako umesema dereva alihitaji kumsaidia bosi na bosi akakataa na baada ya lisaa limoja wakapata ajali na wote wakafariki. Sasa kama wote walifariki ni nani aliyesikia yakisemwa uliyosema?
Huyu si alitajwa kuhusika na kukwapua fedha za ziara fake ya JK!!!RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wangu wa 4 kuchomoka pale foreign!, alianza Balozi Cisco
Mkuu Paskali, Kwilumba, ngoja niwape nadharia yangu katika mambo kama haya. Nayafahamu sana.
Ni kwamba, huyu jamaa ni balozi pale Austria. Anatuhumiwa na kesi ya kubaka, lakini Austria hawawezi kumfikisha mahakamani kwa sababu ya kinga ya kidiplomasia. Wanaomba Tanzania imtolee kinga ili ashitakiwe, Tanzania wanakataa. Tanzania wanasema arudishwe nyumbani kama ni mashitaka tutamfungulia huku.
Kwa shingo upande Austria wanamwamuru aondoke. Lakini pia Austria wanaripoti malalamiko yao kwa serikali ya EU (European Union) na kusema wanajua huyu jamaa akirudi Tanzania hatafanywa lolote kama ilivyo kwa mataifa haya ya Afrika, vigogo wanalindana.
EU wanaiambia Tanzania, msipomchukulia hatua huyu jamaa tutawachapa na vikwazo hadi mkome. Misaada yote tutasitisha na dunia nzima kujua kwamba tunawaadhibu kwa sababu ya balozi wenu aliyebaka lakini hamtaki kumwajibisha. Tunawapa wiki moja tusikie amewekwa ndani.
Sasa ngoma ni kwa serikali ya Tanzania - kumfungulia mashitaka balozi ni jambo la aibu, hasa kwa kosa la kubaka. Kila balozi wetu ataonwa kama anatoka nchi ya wabakaji. Samia akienda nchi fulani watu watanong;onezana raisi wa nchi ya mabalozi wabakaji huyu! Lakini pia tusipomfungulia mashitaka EU watatuchapa kwa vikwazo na kuutangazia ulimwengu jambo hili, na inakuwa mbaya hata zaidi. Wafanyeje?
Ndipo wanatambua kwamba huyu jamaa akipotezewa kesi inakwisha, hakuna aibu wala vikwazo na kashfa yote itakuwa imezimwa. EU hawatatusumbua tena, na serikali haitahitaji tena kumfungulia mashitaka na kujiabisha.
Basi, ajali inapangwa, gari linachomwa moto ili kufuta mashaka yeyote juu ya kama kweli ilikuwa ni ajali. Kamati ya Ulinzi na usalama inaambiwa iende eneo fulani kuna ajali itatokea. Mkuu wa wilaya anaongoza msafara.
Uwepo wa lori usikuchanganye. Watu wanachoma Nissan Patrol mpya katika hii mipango ya kuondoa watu. Investigative journalism hapa unaanza kumtafuta dereva wa lori ni nani, lori ni la nani, lilipakia mziigo wapi, kupeleka wapi, dereva wa lori wanasema alipelekwa hospitali ila pale hayupo kahamishiwa hospitali nyingine - ipi, tuambieni basi, nk.
Kosa wanalofanya ni kusahau kwamba kamati ya ulinzi na usalama huwa haikimbilii kwenye kila tukio la ajali bila kuambiwa ni kigogo gani amepata ajali. Kukimbilia eneo la ajali ni kazi ya trafiki, na wakitambua ni kigogo aliyekufa ndio wanaitaarifu kamati ya ulinzi. Hapo ndipo Mkuu wa wilaya alipoboronga.
Ajali ajali hata utumie chuma cha myahudi utapata ajali tu na unaweza kata motoKwanza pamoja na hoja ya ajali ni ajali, kumaanisha kama siku yako imefika ni imefika tuu lazima utakufa kifo kile kile ulichopangiwa!, hivyo mtu unaweza kuwa huumwi chochote na ukalala usiamke, ndio safari!.
Pili kwenye issues za magari, Wabongo wengi wana opt magari ya Japan kwasababu kwanza ni cheap!, pili easy to maintain with plenty of counterfeit and used spares,
Tatu they are first moving when you decide to sell, lakini kiukweli kabisa umadhubuti wa cheap cars za Mjapani/Korea ni tofauti kabisa na umadhubuti wa gari za Mjerumani, EU or American cars kwasababu Japan na Korea amejikita kutoa lightest cars and cheapest, wakati kwa Mjerumani safety ndio priority no 1.
Mimi usafiri wangu wa kazi ni boda boda, ila for the sake of family niliweka a heavy thing ya chuma cha Mjerumani, wife akasema she is uncomfortable to drive, it's too heavy!, nikamtafutia kitu cha Japan, light & easy!.
When you have both hapo sasa ndio uta notice the differences!, kwanza ukifungua mlango wa Mjapani ni very light mlango mwepesi, mlango wa kitu cha Mjerumani is heavy!. Hapo ndipo nikajua kwanini gari ya Mjapani ikila mzinga wa haja kwa kugongwa ubavuni, inageuka chapati!. Huo mlango wa chuma cha Mjerumani, ugongwe ubavuni mpaka umfikie dereva ni shughuli!.
Tukija kwenye mwendo kasi la long safari, kitu cha Mjapani, gari zote za Japan mwisho ni speed 180!. Ukifika 140 gari inakuwa very light unstable kama inataka kupaa hivyo in case of anything, it's hard to control.
Chuma cha Mjerumani speed yake ni 280, kwa kwa kadri unapokuwa kuwa kuanzia 140 kwenda 160 centre of gravity inaongezeka dude llina lala chini, hivyo ukisikia chuma cha Mjerumani kimepinduka!, ujue mtu alizidisha!.
Hivyo kujikuta nikisafiri na gari ya wife hata nikiendeshwa na dereva, ikifika too speed 100 kunapiga vi kengele, you can't relax wala sipati usingizi kwa yoga!. Nikiendeshwa chuma cha Mjerumani, kama ni Moshi, nashituka tunapokunja Msata na Segera!, Mombo nafanya kuamshwa lazima tutafune mbuzi pale!.
Hivyo kiusalama kiukweli kabisa chuma cha Mjerumani ni salama zaidi kuliko makaratasi ya Japan, ila haizuii kitu kama siku yako imefika!.
Mimi mwenyewe, pamoja na kumiliki chuma cha Mjerumani tena cha maana, wife ana ka Mjapani, bado huwa nasafiria farasi!. Farasi wangu ni farasi mweupe wa Mmarekani speed yake 280, hivyo anakimbia mbio kuliko gari yoyote ya Mjapani', ile siku issue hii iliponitokea, nilikuwa nimepanda farasi wangu, mwendo wangu ni 180!, nayapita magari kama yamesimama!, kumbe ndio siku yangu!, yakanikuta ya kunikuta huku chuma cha Mjerumani kipo!, bati la Mjapani lipo!.
Siku yako ikifika ni imefika!. RIP Balozi wetu!.
P
nguo zake walizipataje? je kama moto ulijuwa mkubwa ingekuwa rahisi mtu mkusogea karibu na kuweza kuchungulia kwenye gari ili kujua watu waliopo ndani?Nlikutana na hii ajali juzi usiku
Hiyo kwanza hatukuweza kujua ni gari ya aina gani na ajali ilikuwa ni mbaya sana
Na ndio sababu imechukua mda mrefu kutangaza, sababu ile gari iliteketea yote pale pale. hakuna aliyeweza kuokoa chochote .!
Kwenu mna asili ya uendawazimu kwani hata watoto wako mashuleni wako kama wewe kwa kuongea vitu zisivyoeleweka!Wapungue na wengine wapate kazi, utakuta kuna siku angekuja kuwa waziri.
Uwendawazimu ni sehemu ya ubinaadamu.Sawa kichaa.Kwenu mna asili ya uendawazimu kwani hata watoto wako mashuleni wako kama wewe kwa kuongea vitu zisivyoeleweka!
Yes, hata kama sio exactly but sisi ni watu wa 60s, if ilipoanzishwa ile 2006, watu wa 60s tulikuwa wengi, as days goes by tulianza kupungua humu kutokana na ujio wa damu changa, issues laini laini na nyepesi nyepesi, wengi wetu wameishia kujitoa kimya kimya.
Sisi wa 60s tuliobaki humu, ni few of us ambao ni very adaptive wenye uvumilivu mkubwa, kuvumilia kutukanwa na vitoto vya kuwazaa na bado ukawepo!.
Nilikutana face to face na Le Mutuz aliporejea nchini kugombea EALA, nikaja kukutana nae tena 2012, nikampiga impromptu moja, kiukweli jamaa yuko vizuri sana!.
Pia humu JF niliieta Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
P
Enzi hizo ilikuwa ni kumkoma nyani giladi, ikishuka mada ni watu wana tiririka, mambo ya ku tagiana ni ya siku hizi.
Hapana isingewezekana kusogea karibunguo zake walizipataje? je kama moto ulijuwa mkubwa ingekuwa rahisi mtu mkusogea karibu na kuweza kuchungulia kwenye gari ili kujua watu waliopo ndani?
Katafute stori ya deeppond unganisha dotsWote hatujui Crown ya aina gani ( ila wamesema crown ), nilie mnukuu, alishangaa why Balozi atumie crown, na mie nikampasha kuna crown zinazidi 80 million.
Mwisho wa siku nimepatwa na ukakasi wanasema wamekuta mwili umeungua. Bana dunia ina mambo mengi
nipe linkKatafute stori ya deepbond unganisha dots
Huenda post inawindwa hiyo. Bora enzi za Mwl.
- Kuna Maswali Yakujiuliza
Hawajasema kama bastola yake ipo home au alikuwa nayo safarini usiku huo. Getting reports in sandwitch.Ajali hii ina maswali mengi kuliko majibu.
Mke , watoto walikuwa wapi? Balozi anaendesha gari mwenyewe kutoka Dar kwenda Kilimanjaro tena USIKU?