Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hatari kweli kweliUkijifanya wewe mwamba ujuwe kuna wengine miamba kuliko wewe, Hao ndiwo walimrudisha alikotoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari kweli kweliUkijifanya wewe mwamba ujuwe kuna wengine miamba kuliko wewe, Hao ndiwo walimrudisha alikotoka
Na Kwa maajabu Gali haijawaka wala kuungua hata sehemu moja lakini balozi kaungua majivu matupuKama ameungua it means gari iliwaka pia, lakini habari yenyewe haijakamilika
Unaweza usiwe salama pia, Kuna muda ajali unasababishiwa, ni kufata Sheria na tahadhari zote, Kisha ujikabidhi Kwa Mungu kupitia Sala na Dua maana barabarani kuna mengiUsafiri mzuri ni wa Gari una enjoy sana vitu vingi huko barabarani including mandhari , ila unatakiwa uwe makini sana! Unatakiwa umsome dereva aliyepo mbele yako na pia umsome anayeonekana kwenye side mirrors zako ! Ukifanya hivyo na ukawa unaendesha kwa mwendo ambao sio wa kasi na usiwe umelewa kilevi chochote kile hata ukiendesha Crown ya Bangladesh utakuwa salama siku zote !!
Wote wangeuliwa.Wote wangeungua?
Ile ni ajali tuu, yule dogo Dumisani Dube alikwa njwii!. Akapigwa mvua 6, tatu Bongo na 3 akaenda kuzimalizia kwao kwa community services. Kifo cha Sokoine: Tujiondoe jela ya kifikraVipi kuhusu ajali ya Edward Moringe Sokoine?
WsngapiMabalozi wengi kitengo/idara,hizo ajali ni ajali au ajali za kikazi!?..kwa nini mabalozi/foreign wamepotea hivyo kwa ajali!?
Jibu swali acha kiswahili cha kwenye mbege.Unataka ukampe pole yake au
Hii ina make sense alooooh.Naomba kuuliza swali, na kuuliza sio ujinga.
Hivi kila ajali inapotokea kwenye high way, kamati ya ulinzi na usalama, kutia ndani Mkuu wa Wilaya, inaenda eneo la ajali kuangalia, hata kama ni usiku, japo hawajui nani amehusika katika ajali?
Halafu eti wameona mitandaoni usiku, wakaitana kwenda eneo la ajali japo hawajui ni nani kapata ajali. Mkuu wa wilaya huyo anasikia ajali anatoka kwenda kuangalia? Ajali ya ndege Dreamliner au au gari? Hii Kamati ya Ulinzi na Usalama kiboko. Sio kwamba walikuwepo eneo la ajali wanamsubiri jamaa na maelekezo maalum?
Unataka kusema nini? Je Kama walikua kwenye bar moja pale Mkata wanakula supu ya utumbo wa kondoo?Naomba kuuliza swali, na kuuliza sio ujinga.
Hivi kila ajali inapotokea kwenye high way, kamati ya ulinzi na usalama, kutia ndani Mkuu wa Wilaya, inaenda eneo la ajali kuangalia, hata kama ni usiku, japo hawajui nani amehusika katika ajali?
Halafu eti wameona mitandaoni usiku, wakaitana kwenda eneo la ajali japo hawajui ni nani kapata ajali. Mkuu wa wilaya huyo anasikia ajali anatoka kwenda kuangalia? Ajali ya ndege Dreamliner au au gari? Hii Kamati ya Ulinzi na Usalama kiboko. Sio kwamba walikuwepo eneo la ajali wanamsubiri jamaa na maelekezo maalum?
Hata Valkswagen beetle inafika bila shida !!Passo na starlet zinatoKa mwanza to dar nonstop sembuse crown, kuwa serious mkuu
She was 96 years old bado wanataka kumzimisha. Kweli hii chai imewekwa chumviYule Bibi Malkia wamzimishe kwa maslahi yepi. Wakati alishakuwa mzee. Hz chai zingine ni za moto kweli
Wakiendesha maV8 mnachonga…..!!Mungu amueke mahara pema poponi,.........ila balozi wetu kuendesha crown sloon sijui ndo economy yetu ndo ilivyo au ubahili?
kuna ajali zinatokea zinakuwa ni ajali tuu na kuna ajali sio ajali tuu, ni 'ajali'
P
Mkuu Paskali, Kwilumba, ngoja niwape nadharia yangu katika mambo kama haya. Nayafahamu sana.critical and logical thought!!
Wakili hapa umechemka,Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makaratasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii gahawa imewekwa chumvi sana...wabongo nawanyooshea mikono kwa kutunga stori. Kwenye stori yako umesema dereva alihitaji kumsaidia bosi na bosi akakataa na baada ya lisaa limoja wakapata ajali na wote wakafariki. Sasa kama wote walifariki ni nani aliyesikia yakisemwa uliyosema?
Amebaka kweli? Uhakika uko wapi? Nani kathibitisha?Mkuu Paskali, Kwilumba, ngoja niwape nadharia yangu katika mambo kama haya. Nayafahamu sana.
Ni kwamba, huyu jamaa ni balozi pale Austria. Anatuhumiwa na kesi ya kubaka, lakini Austria hawawezi kumfikisha mahakamani kwa sababu ya kinga ya kidiplomasia. Wanaomba Tanzania imtolee kinga ili ashitakiwe, Tanzania wanakataa. Tanzania wanasema arudishwe nyumbani kama ni mashitaka tutamfungulia huku.
Kwa shingo upande Austria wanamwamuru aondoke. Lakini pia Austria wanaripoti malalamiko yao kwa serikali ya EU (European Union) na kusema wanajua huyu jamaa akirudi Tanzania hatafanywa lolote kama ilivyo kwa mataifa haya ya Afrika, vigogo wanalindana.
EU wanaiambia Tanzania, msipomchukulia hatua huyu jamaa tutawachapa na vikwazo hadi mkome. Misaada yote tutasitisha na dunia nzima kujua kwamba tunawaadhibu kwa sababu ya balozi wenu aliyebaka lakini hamtaki kumwajibisha. Tunawapa wiki moja tusikie amewekwa ndani.
Sasa ngoma ni kwa serikali ya Tanzania - kumfungulia mashitaka balozi ni jambo la aibu, hasa kwa kosa la kubaka. Kila balozi wetu ataonwa kama anatoka nchi ya wabakaji. Samia akienda nchi fulani watu watanong;onezana raisi wa nchi ya mabalozi wabakaji huyu! Lakini pia tusipomfungulia mashitaka EU watatuchapa kwa vikwazo na kuutangazia ulimwengu jambo hili, na inakuwa mbaya hata zaidi. Wafanyeje?
Ndipo wanatambua kwamba huyu jamaa akipotezewa kesi inakwisha, hakuna aibu wala vikwazo na kashfa yote itakuwa imezimwa. EU hawatatusumbua tena, na serikali haitahitaji tena kumfungulia mashitaka na kujiabisha.
Basi, ajali inapangwa, gari linachomwa moto ili kufuta mashaka yeyote juu ya kama kweli ilikuwa ni ajali. Kamati ya Ulinzi na usalama inaambiwa iende eneo fulani kuna ajali itatokea. Mkuu wa wilaya anaongoza msafara.
Uwepo wa lori usikuchanganye. Watu wanachoma Nissan Patrol mpya katika hii mipango ya kuondoa watu. Investigative journalism hapa unaanza kumtafuta dereva wa lori ni nani, lori ni la nani, lilipakia mziigo wapi, kupeleka wapi, dereva wa lori wanasema alipelekwa hospitali ila pale hayupo kahamishiwa hospitali nyingine - ipi, tuambieni basi, nk.
Kosa wanalofanya ni kusahau kwamba kamati ya ulinzi na usalama huwa haikimbilii kwenye kila tukio la ajali bila kuambiwa ni kigogo gani amepata ajali. Kukimbilia eneo la ajali ni kazi ya trafiki, na wakitambua ni kigogo aliyekufa ndio wanaitaarifu kamati ya ulinzi. Hapo ndipo Mkuu wa wilaya alipoboronga.
Kila uki Google wala hakuna taarifa hiyoAmebaka kweli? Uhakika uko wapi? Nani kathibitisha?
Hii imani ya vyuma vya wajerumani itaua watu pia.RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.
Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makaratasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.
P
Laws of physics zinapiga kisawasawa iwe kwa mjapani au mjerumani.Kuna discovery iliungua toure drive pale km miezi minne ioiyopita
Kuna VW iliungua nayo kitonga yapata miezi 3 iliyopita, ninahotaka kukueleza ni kwamba ajali inaweza tokea regardless chombo kinachotumika.
Muhimu:
Mwendokasi unaua!