Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Ushamba😂😂Ila Jamaa alikuwa anagonga totoz balaa. Yani alizidisha. Isijekuwa alikula kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamba😂😂Ila Jamaa alikuwa anagonga totoz balaa. Yani alizidisha. Isijekuwa alikula kitu.
Na ukishakuwa mtu wa totoz basi ni rahisi sana kudondoshwaIla Jamaa alikuwa anagonga totoz balaa. Yani alizidisha. Isijekuwa alikula kitu.
We jamaa muongo sanaMkata pameanza kunywa damu ya December
Nitumie Sangara Dada yangu, nimekutumia hela kwny simu.Nikiwa mkubwa zaidi ya nilivyo sasa nikawa na vijipesa zaidi kusafiri na gari itakuwa mwisho..
Nikitaka kusafiri kwenda kijiji napanda ndege gari anatangulia nayo dereva.
Embu niambie balozi aliwezaje kusafiri mwenyewe kwenye ka gari kadogo vile? Hana dereva?
Juzi kuna. mchaga mmoja hapa mjini alifiwa na kaka yake akaanza safari ya kwenda moshi. Ikumbukwe ana pesa balaa kwenye account hakosi 500mil.
Wakati wanaanza safari yeye, mtoto wake na dereva, basi dereva akamwambia boss wacha niendeshe boss akakataa akaendesha yeye, aisee hawakumaliza lisaa yule baba alilivaa roli kubwa walikufa wote. Kumbuka alikuwa anaenda msibani kwa kaka yake.
Nilivyoenda kumsalimia mmama mmoja ambae ni ndugu wa marehemu akaniambia alikuwa kalewa usiku kabla ya safari alikunywa so asubuhi alikuwa na hangover.
Moja kwa moja marehemu alikufa kwa ajali coz may be alipitiwa ka usingizi na hii ni hali inayowatokea madereva wengi ila ndo hivyo ajali ikitokea visingizio kibao.
My point is mtu ana pesa mwendo h mrefu hivyo ndege hazipo? Si unampa dereva anatangulia na gari?
Itoshe kusema usafiri wa ndege ni usafiri bora na ajali zake ni nadra sana. Ile ya bukoba wajuzi wa mambo washajua washaunganisha matukia.mwamba akiingia mkoa fulani lazima damu kumwagika.😅😅
No. Matter what usafiri wa ndege ni salama.
Thanks so much baby and you too!
Ukijifanya wewe mwamba ujuwe kuna wengine miamba kuliko wewe, Hao ndiwo walimrudisha alikotokaPÃ¥Naye alikubali kushughulikiwa wakati yeye ndio alikuwa bosi mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama? Jamaa alikuwa mzembe sana basi....
View attachment 2447629
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga.
Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro.
===
Balozi wa Tanzania nchini Austria afariki ajalini
Alhamisi, Desemba 15, 2022
![]()
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy
Muktasari:
Balozi huyo amefariki juzi Jumanne alipokuwa akisafiri kwa kuendesha gari mwenyewe kutoka Dar es Salaam kuelekea mkoani Kilimanjaro.
Tanga. Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Mushy amefariki dunia katika ajali iliyotokea eneo la Mkata wilayani Handeni mkoa wa hapa.
Mushy aliteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria Januari mwaka huu na Mei 5, 2022 akawasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Austria, Alexander Van der Bellen.
Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi Desemba 15, 2022, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe amesema kuwa balozi huyo ambaye alikuwa peke yake alikuwa akiendesha mwenyewe gari akotokea Dar es Salaam kuelekea Moshi mkoani Kilimanjaro.
Mchembe amesema kuwa ajali hiyo imetokea juzi Jumanne usiku ambapo mwili wa balozi huyo umekutwa ukiwa umeungua.
"Mwili wa balozi tuliuchukua eneo la ajali usiku na tumeuleta Hospitali yetu ya Wilaya. Ndugu zake wapo njiani wakitokea Mbezi Dar es Salaam wanakuja kuuchukua," amesema Mchembe.
Alipoulizwa kuhusu kifo cha balozi huyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine amesema wizara yake haijapata taarifa rasmi, wakipata watathibitisha hilo.
"Hatujapata taarifa hizo, tuta-comfirm (tutathibitisha), tutakwambia," amesema Balozi Sokoine.
Chanzo: Mwananchi
View attachment 2448330
😳wee,au sijasoma vizuri? 😂Thanks so much baby and you too!
Hapo nitaelewa.inaemekana ziligongana ndio hiyo Crown ikawaka moto!!
critical and logical thought!!Hivi kila ajali inapotokea kwenye high way, kamati ya ulinzi na usalama, kutia ndani Mkuu wa Wilaya, inaenda eneo la ajali kuangalia, hata kama ni usiku, japo hawajui nani amehusika katika ajali?
hii ina make sense, imepangwa hiiNaomba kuuliza swali, na kuuliza sio ujinga.
Hivi kila ajali inapotokea kwenye high way, kamati ya ulinzi na usalama, kutia ndani Mkuu wa Wilaya, inaenda eneo la ajali kuangalia, hata kama ni usiku, japo hawajui nani amehusika katika ajali?
Halafu eti wameona mitandaoni usiku, wakaitana kwenda eneo la ajali japo hawajui ni nani kapata ajali. Mkuu wa wilaya huyo anasikia ajali anatoka kwenda kuangalia? Ajali ya ndege Dreamliner au au gari? Hii Kamati ya Ulinzi na Usalama kiboko. Sio kwamba walikuwepo eneo la ajali wanamsubiri jamaa na maelekezo maalum?
Nothing brilliant or smart in making a conscious decision to travel alone, hundreds of kilometers during night time on a two-lane highway of death. With the kind of exposure he had, he should have known better.Really really so sad I Know this man. Brilliant and intelligent.
Dah mangu R.I.p
Accumen Mo tumepata msiba jamani
Alitaka adventure labda
Lakini siku yako ikifika mkuu imefika tu
Ova
Apumzike kwa amani, nasikia alikua anadrive?
Mke wake si ndo alisema kuwa dereva alitaka kuendesha akakataa wakati bado wakiwa nyumbani. iwe chai isiwe chai ila mimi nilienda msibani kuaga maana walizika moshi na ndugu ndo walitueleza hivyo. Kama ni uongo basi ndugu ndo waongo. Mke na watoto watatu walibaki nyumbani, baba alikuwa kasafiri na dereva na mtoto mmoja. Ajali yenyewe ilioneshwa mpaka kwenye taarifa ya habari sasa unapinga nini? Aliye fariki anaitwa nelson sasa fatiliya ujuwe hutaki utajuwa mwenyewe.Hii gahawa imewekwa chumvi sana...wabongo nawanyooshea mikono kwa kutunga stori. Kwenye stori yako umesema dereva alihitaji kumsaidia bosi na bosi akakataa na baada ya lisaa limoja wakapata ajali na wote wakafariki. Sasa kama wote walifariki ni nani aliyesikia yakisemwa uliyosema?
Alikua na mke huyu mwamba?
Yule Bibi Malkia wamzimishe kwa maslahi yepi. Wakati alishakuwa mzee. Hz chai zingine ni za moto kweliPutin mwenyewe kakoswa koswa mara kibao ije kuwa Bongo? Unajua mpaka sasa hivi watu wangapi karibu na Putin wameshakufa/uliwa ni kama 10, TZ haina uwezo wa kuwazuia Globalists wakiamua jambo, Trump mwenyewe walimuondoa kwa hila au unafikiri Trump alishindwa uchaguzi? Sasa hivi Irani kinanuka unafikiri ni nani anafanya yote hayo? Kwanza hata Malkia mwenyewe kuna wanaosema kanyamazishwa ije kuwa bongoyoso?
Hao watu wa Putin waliouliwa/kufa mpaka sasa hivi
View attachment 2448748
Wachagga kaziniMungu amueke mahara pema poponi,.........ila balozi wetu kuendesha crown sloon sijui ndo economy yetu ndo ilivyo au ubahili?
Unabishana na Mkamba sasa weweRIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.
Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makaratasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.
P