TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.

Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makaratasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.

P
Baloz alikosa hiyo idea akawa anatumia za kijapani??
 
Mkuu Mr Dudumizi , hapa kwenye kifo cha Mchungaji Mtikikila, umenikumbusha kitu!. Kiukweli haya mambo ya ajali za ajabu ajabu hii njia ya Dar Chalinze, na maeneo ya Tanga kwenye 'fundi' wengi, kumbe pia it's possible ajali zote sio ajali tuu, ajali nyingine ni 'ajali'. Kuna siku nilikutana na Mchungaji Mtikila mahali, akazungumzia mtu anayeuwa watu kwa ku fake accident Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100! five years later Mchungaji Mtikila alikuja kufa kwa ajali ambayo ilikuwa ni kama a fake accident!.

Hivyo kuna ajali zinatokea zinakuwa ni ajali tuu na kuna ajali sio ajali tuu, ni 'ajali'
RIP Balozi Mushi!.
P
Vipi kuhusu ajali ya Edward Moringe Sokoine?
 
RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.

Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makaratasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.

P
labda asali haitoshi mkuu na siku imefika
 
Sure mwendo kasi ni hatari sana, hasa usiku. Sio kila kifo ni mpango wa Mungu
Mkuu Wimbo wa Taifa, National Anthem, kwanza ni kweli, sio kila kifo ni mpango wa Mungu, vifo vingine ni mpango wa mwovu shetani, ila anayeruhusu roho itoke ni mmoja tuu!, Mungu!. Hivyo lolote likitokea, hata kama ni mipango ya shetani, anayeruhusu roho itoke ni Mungu!, ndio maana hata pale Dodoma kwenye zile pyu pyu, zikamiminwa zaidi ya 30!, 16 zikampata na hakufa!, ila ilikuwa ni kazi ya shetani!, Mungu hakuruhusu kifo!, tena usikute wahusika ni wale wale ambao ukikosa kutimiza malengo kwa 3 tuu, unaandika maelezo!.

Maisha na matukio yanaweza kuwa ni kazi ya shetani lakini uhai na kifo ni kazi ya Mungu.

RIP Balozi Mushi!.
P
 
Vifo vya wakubwa huambataba na vitetesi sana. Kana kwamba wao hawastahli vifo... Hata anko Magu kifo chake kuna vitetesi lukuki...

Tatizo hatuna uchunguzi huru unaofanyika kuthibitisha kama aliuawa au ni ajali
 
Nikiwa mkubwa zaidi ya nilivyo sasa nikawa na vijipesa zaidi kusafiri na gari itakuwa mwisho..
Nikitaka kusafiri kwenda kijiji napanda ndege gari anatangulia nayo dereva.

Embu niambie balozi aliwezaje kusafiri mwenyewe kwenye ka gari kadogo vile? Hana dereva?

Juzi kuna. mchaga mmoja hapa mjini alifiwa na kaka yake akaanza safari ya kwenda moshi. Ikumbukwe ana pesa balaa kwenye account hakosi 500mil.

Wakati wanaanza safari yeye, mtoto wake na dereva, basi dereva akamwambia boss wacha niendeshe boss akakataa akaendesha yeye, aisee hawakumaliza lisaa yule baba alilivaa roli kubwa walikufa wote. Kumbuka alikuwa anaenda msibani kwa kaka yake.

Nilivyoenda kumsalimia mmama mmoja ambae ni ndugu wa marehemu akaniambia alikuwa kalewa usiku kabla ya safari alikunywa so asubuhi alikuwa na hangover.

Moja kwa moja marehemu alikufa kwa ajali coz may be alipitiwa ka usingizi na hii ni hali inayowatokea madereva wengi ila ndo hivyo ajali ikitokea visingizio kibao.

My point is mtu ana pesa mwendo h mrefu hivyo ndege hazipo? Si unampa dereva anatangulia na gari?

Itoshe kusema usafiri wa ndege ni usafiri bora na ajali zake ni nadra sana. Ile ya bukoba wajuzi wa mambo washajua washaunganisha matukia.mwamba akiingia mkoa fulani lazima damu kumwagika.😅😅

No. Matter what usafiri wa ndege ni salama.
Hii gahawa imewekwa chumvi sana...wabongo nawanyooshea mikono kwa kutunga stori. Kwenye stori yako umesema dereva alihitaji kumsaidia bosi na bosi akakataa na baada ya lisaa limoja wakapata ajali na wote wakafariki. Sasa kama wote walifariki ni nani aliyesikia yakisemwa uliyosema?
 
Mkuu Wimbo wa Taifa, National Anthem, kwanza ni kweli, sio kila kifo ni mpango wa Mungu, vifo vingine ni mpango wa mwovu shetani, ila anayeruhusu roho itoke ni mmoja tuu!, Mungu!. Hivyo lolote likitokea, hata kama ni mipango ya shetani, anayeruhusu roho itoke ni Mungu!, ndio maana hata pale Dodoma kwenye zile pyu pyu, zikamiminwa zaidi ya 30!, 16 zikampata na hakufa!, ila ilikuwa ni kazi ya shetani!, Mungu hakuruhusu kifo!, tena usikute wahusika ni wale wale ambao ukikosa kutimiza malengo kwa 3 tuu, unaandika maelezo!.
Maisha na matukio yanaweza kuwa ni kazi ya shetani lakini uhai na kifo ni kazi ya Mungu.
RIP Balozi Mushi!.
P
roho hutolewa na roho inayo tawala na kuongoza maisha yako. ( wapi ume submit nafsi - surrender ).

kuna mahala panasema -

Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.”

Kuna wengine wanaweza toa roho ya mtu ( hasa kama hayupo kwenye mpango wa Mungu )

Yule wa dodoma alikuwa bado yupo kwenye mipango ya Mungu ndio maana alipona, kama angekuwa nje ya assignment na mipango ya Mungu ilikuwa nitoleee
 
Siku zako zakuishi zimekwisha..... My balozi Kila la kheri, Mungu ni mwema
 
Safari za gari tamu sana , hasa uwe na machine ya ukweli ndani full luxury .. Pembeni totoz story za hapa na pale.. safari huwa tamu sana.. Kuna watu wana billions of money wao ni wazee wa road trip .. huwaambii ndege wa SGR 😊😊😊 Nikiwa kama mmoja wa wana wa road trip.. situmii crown lakini 😑😑
Usafiri mzuri ni wa Gari una enjoy sana vitu vingi huko barabarani including mandhari , ila unatakiwa uwe makini sana! Unatakiwa umsome dereva aliyepo mbele yako na pia umsome anayeonekana kwenye side mirrors zako ! Ukifanya hivyo na ukawa unaendesha kwa mwendo ambao sio wa kasi na usiwe umelewa kilevi chochote kile hata ukiendesha Crown ya Bangladesh utakuwa salama siku zote !!
 
Hii gahawa imewekwa chumvi sana...wabongo nawanyooshea mikono kwa kutunga stori. Kwenye stori yako umesema dereva alihitaji kumsaidia bosi na bosi akakataa na baada ya lisaa limoja wakapata ajali na wote wakafariki. Sasa kama wote walifariki ni nani aliyesikia yakisemwa uliyosema?
Huwa kunakua na wasindikizaji,hivyo maelezo ya kabla ya safari kuanza,husikika na hao wanaowasindikiza wanaosafiri.
 
Back
Top Bottom