Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mr Dudumizi , hapa kwenye kifo cha Mchungaji Mtikikila, umenikumbusha kitu!. Kiukweli haya mambo ya ajali za ajabu ajabu hii njia ya Dar Chalinze, na maeneo ya Tanga kwenye 'fundi' wengi, kumbe pia it's possible ajali zote sio ajali tuu, ajali nyingine ni 'ajali'. Kuna siku nilikutana na Mchungaji Mtikila mahali, akazungumzia mtu anayeuwa watu kwa ku fake accident Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100! five years later Mchungaji Mtikila alikuja kufa kwa ajali ambayo ilikuwa ni kama a fake accident!.Unanikumbusha kifo cha mch Mtikila. Mazingira ya kifo chake kilichotokana na ajali yalinifikirisha sana, tena ajali ilitokea katika kipindi ambacho Mtikila alikuwa moto sana.
Ila ndo hivyo watu walizika na maisha yakaendelea.
Hivyo kuna ajali zinatokea zinakuwa ni ajali tuu na kuna ajali sio ajali tuu, ni 'ajali'
RIP Balozi Mushi!.
P