TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

Kumbe una umri mkubwa namna hiyo halafu unaletaga utumbo tu humu.
Mkuu marcus dedsec , mimi nimeishi UK, kule machinjioni utumbo unatupwa!, ila wenzetu wa Nigerians wanachukua utumbo wanapika kwenye restaurants zao na sisi tunakula, hivyo huo utumbo nimaoletaga humu, kuna watu wanakula!. Uzuri wangu, humu, zaidi ya kuleta minofu humu mara kibao, sio vinay, mara moja moja nilaleta na utumbo, minofu tuu kila siku, inachosha!, utumbo hauchoshi!. Hata wali au pilau inakinaisha lakini ugali hauchoshi!.

P
 
RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.

Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makaratasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.

P
Inamaana kuwa Balozi ndio Risk?
 
A man is as old as he feels, a woman as old as she looks!. Life begins at 50!, mimi mbona bado sana, japo tayari ni 50+, lakini naendelea kufyatua!, kati hapa nimefyatua tena Changamoto za Kupata Mtoto Mchanga, Ukiwa Umri wa Kustaafu!. Unakuwa ni Baba Babu!. Dawa ni Kujipanga Kabla, Vinginevyo ni Kubebesha Watu Mizigo Yako!

Kama unapenda nyama, na meno bado ipo, lazima utaendelea kutafuna tuu nyama, meno yakingooka, hapo sasa ndio unaanza kula vitu laini laini kama maini!.

Mushi ni mshikaji sana!, neno mshikaji halina umri!. Rip Balozi mshikaji Mushi.

P
Bro kwan mmeongeza tena life ianze na 50?

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Mkuu marcus dedsec , mimi nimeishi UK, kule machinjioni utumbo unatupwa!, ila wenzetu wa Nigerians wanachukua utumbo wanapika kwenye restaurants zao na sisi tunakula, hivyo huo utumbo nimaoletaga humu, kuna watu wanakula!. Uzuri wangu, humu, zaidi ya kuleta minofu humu mara kibao, sio vinay, mara moja moja nilaleta na utumbo, minofu tuu kila siku, inachosha!, utumbo hauchoshi!. Hata wali au pilau inakinaisha lakini ugali hauchoshi!.

P
Sijui.kama akili zake zinaweza kuelewa ulicho andika
 
RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza Balozi Cisco, Balozi Akili, kufunga kufungua Balozi Edwin Rutageruka!, sasa Balozi Celestine Mushi!.



P
Ngoja niwasaidie wanaohoji IQ yako...
Habari nzima ipo hapo kadombos msiolewa busara za huyu Mwanachama wa Chama maarufu Tz
 
Hakuna kitu mkuu,siku ikifika imefika,mbona Princess Diana alifia kwenye Mercedes Benz matata sana!hata yule Ginimbi aliekuwa tajiri mmoja kule Zimbabwe alipata mzinga wa kufa mtu akiwa kwenye Rolls Royce ya kueleweka sana,tuombe tu Mungu mkuu kwani hatujui siku wala saa kifo kinapokuja...
Jaribu kuendesha gari la Ulaya ama Marekani uone tofauti yake na Mjapani.

Hata bodi jaribu kupiga kwa mkono uone uyofauti.

Unataka kulinganisga karatasi na chuma?

Ukiendesha gari la mzungu kama la Mjerumani utaona magari ya kijaoani hakuna usalama
 
Kwanini wasingeweka hii habari kwa jamiicheck ili tujue ni KWELI au UZUSHI, badala ya kuufuta????

1671138655420.png
 
Thread nyingine inayosema 'kifo chabalozi kichunguzwe' kuna mdau (id yake Ranger9 nadhani) anamuelezea balozi kama mtu very humble, simple, outgoing na sifa nyingine hapo, kwamba bati Magu aliona adhabu ya kusimamia zoezi la kumwaga korosho zote baharaini kitu kinachomuuma sana balozi to date. Akaonheza tena kuwa balozi huyu ni jasusi haswa, kwamba alikaa nae kwa siku 10 ni kama amekaa chuo miaka 7.

Hapa kuna mdau amegusia huenda balozi ame-fake death,
Nikiunga dots kwa ajili yangu ndogo
....tetesi za kufukuzwa ubalozini Austria kwa tuhuma za ubakaji
....taarifa za kifo baada ya siku 2 tokea siku ya tukio
....majibu ya katibu Mkuu wa wizara ya mambo ya nje alipoulizwa juu ya taarifa

Naconclude mwamba tupo nae hapa jamvini!
 
Back
Top Bottom