TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

Att
AJALI YA TOYOTA CROWN T.175DMF IMETOKEA MKATA DEREVA NI MWANAMKE AMEFARIKI PAPO HAPO, UMILIKI WA GARI NI CELESTINE JOSEPH MUSHY
SAMBAZA KWENYE MAGROUP KADRI UWEZAVYO ILI NDUGU WAPATE TAARIFA
TOKA 0652003003
 
Mabalozi wengi kitengo/idara,hizo ajali ni ajali au ajali za kikazi!?..kwa nini mabalozi/foreign wamepotea hivyo kwa ajali!?
Ile kuondolewa Mama Mula Mula Foreign, na Balozi Mushi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye Taasisi za UN Vienna Austria, na kwa hulka ya Balozi, ya kutokumung'unya maneno, pengine kuna boko alitoa against Mamlaka za Uteuzi huko kwenye group sogozi za Mabalozi/Wakubwa
 
Balozi aliona atapata hasara kuchukua dereva[emoji17][emoji848]
Ndugu, usilolijua ni usiku wa kiza kinene...hufikiri kwanini leo zimesambazwa habari za kusema Balozi Mushi alifukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji? Kwanini hizo habari zitoke siku 1 na almost wakati mmoja na habari za kifo chake? Na kwanini ajali itokee juzi itangazwe leo? Na Mamlaka za uteuzi nazo zitoe salam za rambirambi leo? Maswali ni mengi muda mchache, wacha nilale
 
Nenda

Mimi ntadumu kama ilivyopangwa, kuna uzi huko wanasema alishafukuzwa.Haijulikani kauawa au kafaje.Wahalifu wanaojificha kwenye mgongo wa utumishi wa umm.
Wewe ni msemaji wa ubalozi?
 
Ndugu, usilolijua ni usiku wa kiza kinene...hufikiri kwanini leo zimesambazwa habari za kusema Balozi Mushi alifukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji? Kwanini hizo habari zitoke siku 1 na almost wakati mmoja na habari za kifo chake? Na kwanini ajali itokee juzi itangazwe leo? Na Mamlaka za uteuzi nazo zitoe salam za rambirambi leo? Maswali ni mengi muda mchache, wacha nilale
Saaaafi sana, bonge la analysis, nimeona Ile Ajali, lory liko upande wa kulia limedondoka na gari ndogo imekusanywa ikaungua moto upande mwingine...... anyway hii Ajali mmmghhh
 
Ndugu, usilolijua ni usiku wa kiza kinene...hufikiri kwanini leo zimesambazwa habari za kusema Balozi Mushi alifukuzwa nchini Austria kwa tuhuma za Ubakaji? Kwanini hizo habari zitoke siku 1 na almost wakati mmoja na habari za kifo chake? Na kwanini ajali itokee juzi itangazwe leo? Na Mamlaka za uteuzi nazo zitoe salam za rambirambi leo? Maswali ni mengi muda mchache, wacha nilale
Inawezekana walijipa mda wa kufanya uchunguzi ukizingatia ni siku moja tu
Maana watu siku hizi mambo mengi gari anampa mtu unaweza kusema ndio yeye kafariki kumbe mtu yuko sehemu kajiteka
 
Let us assume alikua anakimbia mwendo mkubwa.

Akalose control baada ya kupigwa full light na gari aliyopishana nayo.

Akatoka nje ya barabara.

Gari ikapiga mahali ikawaka....

The rest is history.

Hii ni assumption tu.
 
Back
Top Bottom