TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

Ukisikia mtu amekufa kwa ajali, usiku, mwili umeungua, jiulize maswali mengi. Kuna hawa jamaa zetu wana hiyo modus operandi, hawataki contradictions kutoka kwa madaktari wanatakapofanyia mwili postmoeterm, au wanafamilia kuwa na maswali meeengi

Na kulikuwa na issue Austria, hakuja kwa ajili ya likizo.
Ehe

Ova
 
Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makatasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.

Nimecheka kwa sauti 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna discovery iliungua toure drive pale km miezi minne ioiyopita
Kuna VW iliungua nayo kitonga yapata miezi 3 iliyopita, ninahotaka kukueleza ni kwamba ajali inaweza tokea regardless chombo kinachotumika.

Muhimu:
Mwendokasi unaua!
 
RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.

Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makaratasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.

P
Pasco ulishawahi kuwa na gari nyeupe ndefu imekaa kama Noah hv. Moshi kipindi hicho niliwahi kwenda kutoa mahari na ile gari yako huwezi amini. Mungu akubariki sana.
 
Mrangi, hakuna dereva anaejiona yeye sio dereva mzuri kama dereva mwingine, hasa usiemjua

Na afadhali nife kwa uzembe wangu katika kuendesha gari kuliko uzembe wa dereva mwingine
Na njia ile kuna wezi balaa
Ajali ikitokea unaweza jua unakuja said ila,kumbe wanakuja kukuibia ikiwezekana wanakumaliza

Ova
 
RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.

Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makaratasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.

P
Ni kweli, chuma cha Mzungu ni salama hata unapokuwa unakiendesha tofauti na makaratasi ya Mjapani.
 
RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.

Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makaratasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.

P
Hayo mavyuma ya muingereza mjerumani nayo kila leo yanachinja watu
Alafu hyo cisco si aliumwa aka vuta
Huyu mushy ajali....

Ova
 
Back
Top Bottom