jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Balozi hana uzowefu wa kuendesha long trip, angemwachia dereva mwenye uzowefu wa safari ndefu tu amuendeshe, na wengi watapata ajali hasa wale madereva wa msimu!!RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.
Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio haya makatasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.
P