TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.

Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio makatasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.
Mabalozi wengi kitengo/idara,hizo ajali ni ajali au ajali za kikazi!?..kwa nini mabalozi/foreign wamepotea hivyo kwa ajali!?
 
RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.

Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio makatasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.
Acha kujifanya bado mtoto, mshikaji mshikaji. Umri wako wa kulea wajukuu lakini kutwa kucha jukwaani kushindana na vijana.
 
Banaa wewe Crown sio za kinyonga achana na hizi Crown za 16 million, kuna Crown zinafika hadi 80 million na kuendelea.. Crown usiposhtuka na barabara zetu mbona hatari, huenda alijisahau akafikiri yupo Austria [emoji58][emoji58]
Kwahiyo huyu balozi mchagga alikua anaendesha crown ya 80m,? Tuma picha tuione hapa
 
RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.

Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio makatasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.
Makaratasi ya Japan yanaungua?
 
Kwahiyo huyu balozi mchagga alikua anaendesha crown ya 80m,? Tuma picha tuione hapa
Wote hatujui Crown ya aina gani ( ila wamesema crown ), nilie mnukuu, alishangaa why Balozi atumie crown, na mie nikampasha kuna crown zinazidi 80 million.

Mwisho wa siku nimepatwa na ukakasi wanasema wamekuta mwili umeungua. Bana dunia ina mambo mengi
 
RIP Balozi Mushi, nimeamini wanaopendwa na wengi hufa wangali vijana!.
Huyu ni Balozi mshikaji wa 3 kuchomoka pale foreign!, alianza mshikaji Balozi Cisco, Mshikaji Balozi Akili, kufunga kufungua mshikaji Balozi Edwin Rutageruka!, sasa mshikaji Balozi Celestine Mushi!.

Wajameni kama hali ya uchumi inaruhusu, kwa gari ndogo, saloon cars, nunua chuma cha Mjerumani, na sio makatasi ya Japan!.
RIP Balozi Mushi!.
Huyu alikuwa mtu mbaya kwa kweli.
 
Back
Top Bottom