Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Sikujua Kama polepole ana wafuasi hivi, wengi wamepanic.
Hahaha hawajapanic kwa sababu kapostiwa ..la hasha wamempanikia muweka mada.. Wamepata pa kupunguzia fukuto za moyoni
 
Umeiweka vizuri sana thanks..
 
Ndani ya hii post majibu yatapatikana
 
Hivi haka kajamaa hakanaga mke?!! Nakumbuka Dodoma kalipostigi mara kadhaa kakiwa jikoni kabla hatujaonana ile clip ambayo tuliona KY-gely
 
Nambari one..! Makasiriko hayafai mtakufa siku si zenyu
 
Huyu atumbuliwe mapema kabisaa 😂😂
 
we mzee bora uendelee na uganga wako tu sasa utaanza kupangia na watu kama amekuwa balozi asiende hata chooni maana hana hazi ya kunya akiwa balozi
 
we mzee bora uendelee na uganga wako tu sasa utaanza kupangia na watu kama amekuwa balozi asiende hata chooni maana hana hazi ya kunya akiwa balozi
Uganga nimeshastaafu labda unirafutie mishe zingine
 
Uganga nimeshastaafu labda unirafutie mishe zingine
ushaona mwanga anaacha kuroga ? hata hapa kwenye huu uzi unaonyesha ni kiasi gani ulivyo mchawi maana mchawi hana sababu ni roho mbaya tu inayomsumbuaga
 
Wewe imekuuma nini.
Jitu zima kufatilia wanaume wenzako ndiyo umbeya tu
 
CCM OUT, KATIBA MPYA IN.....!

Mbona huu upuuzi wote utabakia kuwa historia!
Mfano hapo katiba mpya itamzuia kucheza? Jaribuni kujikita kwenye mambo muhimu ya kitaifa sio kumjadili MTU akiwa kwake chumbani. Huo ni ushakunaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…