Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeiweka vizuri sana thanks..Kuna
Kuna mambo mawili au matatu hapa, yaani kwenye hii video. Moja ni kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa huyo si Balozi wetu Malawi, watu wanafanana. Pili kuna uwezekano mkubwa kuwa hiyo ni video ya zamaaaani sana labda wakati huo Balozi akiwa bado Chuo Kikuu na la tatu ni kuwa hiyo ni sayansi tu imetumika kufanya hayo!
Ndani ya hii post majibu yatapatikanaKwani hapo ni siku ya kazi au muda wa kazi?
Nahisi kuna wengine wanafanya hivyo bila matangazo.
Kwa hiyo kelele zile za shule ya uongozi ni kutaka kupata nafasi ya kufanya hayo, jikoni ambapo ni hatari kucheza muziki?
Au hii ni kabla ya kwenda Malawi?
This is childish and too low. Ulitaka kila mtu achangie kile unachopenda?!Post inawatoa panyabuku wote pangoni.[emoji1787]
Hivi haka kajamaa hakanaga mke?!! Nakumbuka Dodoma kalipostigi mara kadhaa kakiwa jikoni kabla hatujaonana ile clip ambayo tuliona KY-gelyKuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto
Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri... Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani
Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi
Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala..hasa viongozi hawa wa kisiasa.. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa
Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi.. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi
Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia
Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili....
Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa ..!View attachment 2231544
Huyu atumbuliwe mapema kabisaa 😂😂Kuna hali mbili au tatu kwenye makuzi

we mzee bora uendelee na uganga wako tu sasa utaanza kupangia na watu kama amekuwa balozi asiende hata chooni maana hana hazi ya kunya akiwa baloziKuna hali mbili au tatu kwenye makuzi
Kukua kimwili
Kukua kiakili
Kukua kimwili na kiakili
Kuna kukua kiroho pia lakini huku huambata na akili, huwezi kukua kiroho huku akili ikiwa ni ya kitoto
Makuzi ya kawaida ni kuwa na uwiano sawa wa kukua kimwili na kiakili.. Hapa kimwili namaanisha kiumri... Unaposikia fulani ana mambo ya kitoto tambua huyo umri umeenda lakini matendo yake kiakili ni sawa na ya mtoto wa umri fulani
Ama ukisikia ana mambo ya kikubwa yaani umrí ni mdogo lakini anayofanya yalipaswa kufanywa na mtu wa umri fulani kumzidi
Kuna shida kubwa huko kwenye vetting ya viongozi mbalimbali huko chama chawala..hasa viongozi hawa wa kisiasa.. Wengi hawateuliwi kutokana na weledi maarifa, ujuzi na umahiri bali huteuliwa kama asante ama kwa sababu fulani isiyo na tija kwa taifa
Nafasi zinazolalamikiwa sana kwa sasa ni nafasi za uwakilishi wa nchi mbalimbali cheo cha balozi.. Wateuliwa wengi hawajui ukubwa, umuhimu na weledi wa hii nafasi.. Wengi wao wanadhani balozi wa nchi ni sawa na balozi wa nyumba kumi
Balozi ni mwakilishi wa nchi pale alipo.. Ana mamlaka kamili na makubwa ya kusimama badala ya mkuu wa nchi..hivyo matendo yake, lugha yake, life style yake ni lazima iendane na nafasi anayoshikilia
Balozi mteule unaposhinda mitandaoni na kufanya vituko wanavyofanya wadogo zetu huko mitandaoni ni wazi kabisa huyo anakuwa hajitambui ama kakua kiumri na kimwili lakini sio kiakili....
Enzi za mwalimu kufanya vituko kama hivi ni automatically umejivua cheo husika hata kabla Mwalimu hajasema
Hebu ona hiki anachofanya huyu barozi wa walawi hapa ..!View attachment 2231544
mbona hamshauri mwenyekiti wake lissu aache ushoga arudi nchini?Mtani tulia, hii nchi ina wenyewe
ushaona mwanga anaacha kuroga ? hata hapa kwenye huu uzi unaonyesha ni kiasi gani ulivyo mchawi maana mchawi hana sababu ni roho mbaya tu inayomsumbuagaUganga nimeshastaafu labda unirafutie mishe zingine
Mfano hapo katiba mpya itamzuia kucheza? Jaribuni kujikita kwenye mambo muhimu ya kitaifa sio kumjadili MTU akiwa kwake chumbani. Huo ni ushakunakuCCM OUT, KATIBA MPYA IN.....!
Mbona huu upuuzi wote utabakia kuwa historia!