Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Kukiwepo na katiba ya kueleweka, kamwe wajinga hamtapata nafasi ya kutawala wenye akili.
Ivi unadhani kuna mwenye akili hapa kuliko mwingine? Ila uhalisia ni kwamba video inamwonesha mh.polepole akiwa anafurahia maisha yake private nyumbani/chumbani kwake. Kuna uhusiano wowote hapo na comment ya katiba mpya? Unadhani wewe una akili kuliko polepole? Unamzidi nini so far?

Kuna muda hujui who or what is your enemy....you just decide to be aggressive in everything.

Unadhani katiba itamzuia polepole kuishi maisha yake?
 
Hapo ni sheria na kanuni ipi kaivunja? Maisha mafupi haya mnayachukulia serious sana...mwache bwamdogo bwana😀
Wewe una umri wa kumuita Polepole bwana mdogo?

Mwenzanko anaelekea kwenye retirement kama hujui.
 
Lecture wa online leadeship analuka kwanja ,kavaa na snika ya utopolo .

Nchi ngumu sana hii
 
Acha kunifokea. Wengi mnapewa mamlaka makubwa huku wengi wenu mkiwa ni vilaza. Kisa tu mko ccm. Siku ya kufa hiki chama chenu, hakika hii nchi itapiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
 
Vijana wanch
Dah.[emoji23] labda nikwambie tu kwamba kila nafasi ya uongozi ina kanuni, masharti na vigezo vyake ..
Vijana wanaona kila kitu sawa tuu, siku hizi waziri ana kashifa ya nyumba ndogo tatu sawa tuu si kifanyio chake,,,, waziri anatukana matusi sawa tuu si mdomo wake... in short hata neno maadili hawajua maana yake.
 
Alipita chuo Cha Diplomacy kweli huyu?
Hajapita ndio maana bado anadhurura tu mjini, huwezi kuwa Balozi bila kuoita chuo cha diplomasia walau short course.

Aliyejifanya ana shule ya uongozi amejikuta ghafla yeye ndio anatakiwa aende darasani kufundishwa uongozi.

Kuna wakati huwa nawakubali sana ccm kwa style yao ya kudeal na wahuni kama Polepole na Ndugai.
 
anafanya mazoezi, au anataka wambadilishie nchi ya kuwakilisha? kupelekwa malawi si mchezo ujue.
 
Polepole ana stress lkn ni vigumu kulijua hili. Haya yote anasaka furaha ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…