Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Vijana wanch

Vijana wanaona kila kitu sawa tuu, siku hizi waziri ana kashifa ya nyumba ndogo tatu sawa tuu si kifanyio chake,,,, waziri anatukana matusi sawa tuu si mdomo wake... in short hata neno maadili hawajua maana yake.
Taifa linapitia wakati mgumu sana
 
anasaka wamfurushe ili arudi zake bongo aendeleze siasa za sukuma gang. icho kitu anatafuta mno. kipindi kile alikuwa tayari hata ubunge akose ili awe huru. na mke wake ni mzungu, mkimzingua huyu anakimbilia ulaya anaenda kuwa chawa kama mange na kigogo24.
 
Hizo ni Yebo za Mayele au?
 
Babu naona tamthiliya za yoga zimekukaa kichwani na unaziona kama vitu real, bado miaka 3 tusibiri tuone maza is there until 2030, tz sio marekani tz hakuna deep state, deep state ya tz ni jumuiya ya uvccm, sasa hapo kuna cha maana kama tiss imejaza makada watupu.
 
Mkuu,
Sasa huo si udikteta ule ule tulioulalamikia kwa Magufuli (kutumbua watu, kupewa kesi za ughaidi na uhujumu uchumi) kumbe bado mazingira yetu yanahitaji hayo hata leo? Afrika itapataje kupona namna hii? Back and forth, back and forth!?
 
Subiri siku yake ya kufa, utasikia sifa ambazo hujawahi kuzisikia ikiwemo ile kwamba pengo lake (likiwemo la mambo kama hayo) halitazibika!
 
Duu, kwahiyo balozi sio binadamu, hana feelings za furaha na asionyeshe kufurahi kwake, chillax dude
 
Anasherehekea kupata habari za kijasusi kwamba chama kipya tayari kiko kwenye pipeline na yeye ana sehemu kwenye safu ya urasimu/bureaucracy ya chama!
 
Huko Malawi alipo wamelalamika?

Kama kawaida yenu team visasi.

Tunajua hamkuufurahia uteuzi wa PolePole.

Mlipenda akae pembeni ili aongeze list yenu mnayoiombea mabaya usiku na mchana.

Lakini Mungu hakuwa upande wenu kama inavyoelekea kwa sasa!
 
"Tunataka katiba ibadilishwe jamani, hii katiba haifai kabisa".
Watu wanacheza hovyo tu na kuleta utoto, hatukubali...!
 
Amka ukaihangaikie familia yako kama unayo!
 
Nijuavyo mimi Polepole is a very smart guy kwa kuwa tu haujamuelewa haimaanishi hivyo unavyodhania!
Hakuna smart wowote hapa!!!

Hata nyumbani mnawezakuwa hamkubaliani lakini mbele ya watoto na jamii mtaonesha umoja na ushirikiano... Kama mambo hayavumiliki tena basi mtatengana na utaweza kusema baadhi na sii yote yale yanayowatofautisha....

Kwa hali ya nchi ilivyo sasa na changamoto tunazopitia ILIPASWA WATUMISHI WETU KUUMIZA VICHWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO... na hata kama watakuwa na vitafrija makwao ni vema kuviweka private kwa sababu hiki anachokifanya kinatoa ujumbe kwa jamii...

Na ujumbe huu siyo mzuri
 
Kila binadamu kuna wakati analazimika automatically bila kutaka au bila kujijuwa; kutekeleza chagizo za INSTINCT za uumbaji wake bila kujali sifa zake zisizo za uumbaji kama elimu, cheo, umaarufu nk.

References:
1. Bill Clinton alijuwa fika kuwa Monica Lewinsky ni intern tu pale Ikulu lakini ali.......

2. Mandela aliendeleza wivu na fitina (kwa usaliti wa Winnie Mandela akiwa jela) kwa kumuoa Graca Machel wakati Winnie akingali hai na hata licha ya Desmond Tutu kufanikiwa kuwapatanisha. Mandela huyo huyo aliyeshindwa kumsamehe Winnie (hata baada ya upatanisho) akaenda kumuombea Bill Clinton msamaha kwa sakata la Monica Lewinsky. UNAFIKI wa Mandela huu kama binadamu, siyo kama rais/cheo.

3. Emmanuel Macron ameoa mke anayemzidi umri kwa mbali, aliye na watoto wenye umri mkubwa pia kuliko Emmanuel Macron. Hivyo Emmanuel Macron ni mtoto kwa mkewe na mtoto kwa wanae wa kufikia. He is the last born in his own family age-wise!

4. Baadhi ya anayoyafanya Diamond hayaendani na nafasi yake katika jamii ila kama binadamu hawezi kuyakwepa maana yako kwenye uumbaji wake.

NB.
Cheo, elimu, umaarufu na INSTINCT hazihusiani kwa sababu moja iko kwenye uumbaji na nyingine ni optional (they happen by chance not design).

Nadhani naweza kum-describe Humphrey namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…