Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Mi Nilijua tayari Yuko zake huko..arudi darasani tu
 

Kama ameiposti haujui ni kwa nini kafanya hivyo, labda kuwaonyesha wasiompenda kwamba he is still happy against all odds, haujui anachopitia na wanachomfanyia, usisahahu huyo alikuwa karibu sana na Magufuli na ni muumini wa sera za Magufuli siyo muumini tu alishiriki pia kuzitekeleza hivyo unafikiri wasiompenda Magu ambao wameshika uraisi wa nchi watampenda ?

Ninachotaka kusema ni labda kuna ujumbe aliotaka kuufikisha na kuna mlengwa pia, sasa ni ujumbe gani mimi siwezi kujua lkn walengwa watakuwa wameupata na ndio maana wameleta hapa kujadili na sasa hivi ndani ya lisaa tayari kuna page karibia 10, jiulize kwa nini ?
 
Take it easy boss...hamna kosa hapo, Kila jambo lina muda wake acha na yeye afurahie maisha bhana.
 
Kutokana na hilo ndiyo nasema hakuna kitu....

Wewe ni mwakilishi wa NCHI na bado unashikilia kijitu, ni magumu mangapi wananchi wanapitia wewe kukua unajirekodi???

Sawa unapingana na WALIOMPA HIYO POST lakini Je hawa wanaovuja jasho ili YEYE alipwe mshahara na ALLOWANCES zingine anatufanyia haki?


Huo mshahara anaolipwa na KODI za watu, Je anawafanyia sawa???? Kwakweli BINAFSI NAMUONA ANAJIVUA NGUO!!!!!
 
Kwa sababu hapendwi. Fullstop.
 
Sasa kama wao wenye miela wasipopenda sanaa ya muziki je, wasanii si watafutika kwenye sayari? Ukumbuke anacheza muziki ambao hajaughani yeye.
 
Take it easy boss...hamna kosa hapo, Kila jambo lina muda wake acha na yeye afurahie maisha bhana.
Cheers ndio maana kumbe tukawa pia na loyo la tua[emoji322][emoji322][emoji322]
 
Hata yeye ana maisha yake nje ya ubalozi, let him live.

Usigeuze hizo nafasi za uteuzi zionekane ni kamba za kuwazuia watu kuishi watakavyo.
 
Sasa kama wao wenye miela wasipopenda sanaa ya muziki je, wasanii si watafutika kwenye sayari? Ukumbuke anacheza muziki ambao hajaughani yeye.
Je ni mabalozi wangapi walishawahi kufanya hivi
 
mzee wa shule ya nanilii baada ya kupigwa spana na kupokwa ubunge na kupewa ubalozi wa nchi kama wilaya sasa anakula raha kwa kujiliwaza msimshangae anajiondolea stress wala sio ishu muacheni
 

Enzi za mwalimu palikuwa na mitandao ya kijamii? Ebu acha chuki za kijinga mtu mzima hovyoo
 
Zimetoka nguchiro sasa ni zamu ya chawa.. Yote heri.makasiriko fc[emoji374][emoji19]
 
Ukiwa balozi uruhusiwi hata kuburudika?
KILA mtu ana starehe yake bro..
Na kujirekodi na kurusha mitandaoni.. Well and good ..hivi ni hafla ngapi za kibalozi tumeshawahi kuziona mitandaoni..Basi sawa inaelekea huu ni wivu na husuda tu..but time will tell
 
Heheheheh watu mnaroho ya Ajabu...
Mtu apotezwe mtaan kisa madaraka
 
Hapa nakuunga mkono! This is disgusting indeed! The boy should be punished immediately
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…