Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

Hapa nakuunga mkono! This is disgusting indeed! The boy should be punished immediately
Duh kweli maajabu hayaishi duniani..[emoji23] wanasema shetani akizeeka anakuwa malaika
 
Unamkumbuka balozi Abdul Cisco Mtiro? Alikuwa na kihereni sikioni.......Kuna tofauti kubwa ya kuwa kiongozi na mwananchi wa kawaida
 
Tumeacha ku discuss hoja tumeanza ku discuss watu na maisha yao binafsi ambayo hayana uhusiano wowote na kazi zao.
 
Kwanza amechanja!!!?

Tanzania yangu ina safari ndefu, hicho ndicho alichotumwa kwenda kufanya Malawi!!!
 
Dah. Tunaomba kuona kipengele ya Katiba mpya kuhusu hii issue?
Wala hakuna ulazima wa kuweka kipengele cha kuzuia watu kijirekodi wakicheza.

Mimi naongelea Katiba Mpya itakayoweka misingi ya uteuzi wa watu sahihi na wenye sifa kushika nafasi nyeti katika mifumo ya kiserikali.

Siyo kila mtu ateuliwe tu kwa sababu ni mwanachama wa ccm, au ni rafiki/mtoto/hawala/mke/mume/mchepuko/kunguni, au chawa wa kiongozi fulani. Au kiongoziajisikie tu kumteua mtu, halafu hakuna mamlaka ya kumhoji.
 
Good suggestion; kwani Katiba la sasa haina hivyo vipegele? na pengine kwa maoni yako, Katiba mpya kitahakiksha hayo mabadiliko??
 
Tate Mkuu, yote uliyosema ni kweli ila binafsi nafahamu kuwa Komredi Polepole ana sifa za kuwa kiongozi wa juu sana humu nchini, in fact ana uwezo, weledi, akili, maarifa na uzalendo kuliko viongozi wengi saaana kwenye Kabineti ya sasa na hata huko Bungeni.

Hivyo basi, kama uteuzi wake kwenye nafasi ya Ubalozi ni kwa nia njema ya kumpa international exposure kwenye siasa na uongozi ni sahihi; lakini kama ni malice - oriented na driven BASI KUNA SHIDA kwenye uongozi na ushauri!
 
Acha kunifokea. Wengi mnapewa mamlaka makubwa huku wengi wenu mkiwa ni vilaza. Kisa tu mko ccm. Siku ya kufa hiki chama chenu, hakika hii nchi itapiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
Mkuu usidhani shida ni chama cha ccm....tatizo ni watu,ikiwa watu ni wale wale then tegemea matokeo Yale Yale. Hao walio ccm saizi wanaweza wakahamia chadema au chama kingine chenye nguvu na wakaunda serikali.

Kitakachokuja kuisaidia hii nchi ni vitu vikuu vitatu:
1. Elimu
2. Uwajibikaji.
3. Siasa safi.

Coz ukijaribu kuangalia mambo kwa mapana yake 2015-2021 akina mwigulu,kigwangala na wengineo walikuwa kwenye bendi ya kumsifu Rais Magufuli....ila kuanzia march 2021 nafikiri unaona mambo yalivyo badilika.
 
It's good to have some fun sometimes ila kwa cheo chake ni kweli hilo tunatafsiri kama ni utoto.

Just imagine kuna kampuni toka malawi linataka kusign deal na Tz, then wanaona video ya mtu ataewaguide ndo huyu, kwa akili ya kawaida tu sio rahisi kuamini kama akili yake iko sawa.
 
Kaka pembe, nadhani uko sahihi some where ila ukuyafafanua vizuri. Hao uliwataja na wengine wengi ndani ya CHAMA letu, CCM, niwachumia tumbo tu. Ngoja twende and come 2024 na 2025 utaona mambo na hii picha wazi wazi! Tuombe uhai tu kwa Mungu, Yehova.
 
Tafsiri ni tafsiri tu, kila mtu anayo haki ya kutafsiri apendavyo ILA na wewe usiwatafsirie Wamalawi vile ufikirivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…