Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

Mabeyo alivyoongoza JWTZ kama CDF ni tofauti alivyoongoza akiwa CoS. Alikuwa ni Mtu wa mabavu na nguvu nyingi hata nami sikutegemea kama atakuwa CDF kabisa ni jambo la busara uzee ulimfunza alipoteuliwa kuwa CDF akaongoza kwa busara hadi leo amestaafu . Heko Mabeyo, ustaafu mwema👏
 
Hivi Dr Slaa aliteuliwa akiwa na umri gani ?
 
Yakubu ni rika moja na Makongoro Nyerere wakitofautiana mwaka mmoja au miwili hivi, yaani Makongoro ni mkubwa kwa umri. Kwa kupitia hiro refeyence ni wazi kuwa huenda Yakubu ana miaka kati ya 57 na 60 hivi.

Zaidi ya kuwa mtu mpole, Yakubu ni mtu makini sana katika kufanya maamuzi, hakurupuki; hivyo huwa hafanyi maamuzi mabaya by 99.99%.
 
..hayo unayosema sio lazima.

..Mabeyo ni wa mwaka 1956 lakini aliteuliwa 2016/17.

..tena alikuwa anampokea mstaafu Mwamunyange ambaye ni wa mwaka 1959.
Kuna kosa katika kuripoti umri wa Mabeyo, hakuzaliwa 1956 kwa vile kustaafu jeshini siyo jambo la hiari; huwa anaweza kuongezewa mwaka mmoja au miwili lakini siyo extension ya miaka mingi hivyo. Inawezekana alizaliwa 1965 au 1966 lakini ikaandikwa kuwa 1956.
 
Hivi hiyo ipo kikatiba kumbe? Kuhusu umri?
 
Kwani kachero ana alama kwenye paji la uso? Hata polepole anaweza kiwa ni kachero. Yale anayo display kwa umma huwenda ni kazi ya ukachero pia
 

..ngoja nikubaliane na wewe kuwa Mabeyo hakuzaliwa 1956, amezaliwa 1965.

..sasa imeripotiwa kuwa amejiunga na jeshi mwaka 1979.

..maana yake alijiunga na jeshi akiwa na miaka 14.

..au labda hiyo 1979 nayo wamekosea, tufanye alijiunga 1997.

..maana yake alijiunga na jeshi akiwa na miaka 32, na amechimumpa vyeo mpaka kuwa Jenerali na Cdf.

Cc Mr Q
 
Bado nina mashaka (sina uhakika) na katika ripoti mwaka wake wa kuzaliwa kwa sababu jeshini huwa hawaweki mtu aliyekwisha zeeka, akifikia umri fulani tu, inabidi astaafu kwa heshima zote za kijeshi. Akibaki huwa ni kwa amri ya rais na huwa ni mwaka mmoja au mwili tu ya extension, na hutangazwa kuwa ameongezewa muda wa utumishi jeshini. Kwa yeye kujiunga na jeshi mwaka 1979 ni karibu sawa na Makongoro Nyerere aliyejiunga mwaka 1980 au General Yakubu Mohammed aliyejiunga mwaka 1981 baada ya kumaliza form 6, kwa hiyo umri wake utakuwa katika range yao pia.
 
You nailed it!
 
Mwamba yuko na vyeo lakini Wala hajavimba kakaa kinyoge tu,

lakini huku ofisini kwetu unakuta boss fala kicheo kidogo tu lakini huo mvimbo wake Sasa.
Wapo watu ambao huwa wanaona hii dunia ndio kila kitu ! Na wapo watu wengine wanaona hapa duniani tunapita tu !!
 
Aksante sana mkuu, umri sijafanya utafiti, nahisi anaweza kuwa kabakiza mitatu kufikia 60.
.
Aksante sana kwa CRITICISM YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…