Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

Wewe njaa kali unaweza kumchangia nini Bilionea Sugu yaani ni sawa kumtaka mbu amchangie binadamu damu. Wewe kanywe viroba vyako ukalale basi.
Sugu si kuwa billionea kwa hisani ya ubunge sema De Tulia kaiharibu biashara yake
 
Nana mabalozi wanambipu mama Samia.
Kamanda Awadhi apewe ubalozi Ufaransa.
 
Bado yupo mahututi?
 
Hapa ndani tu mmeshindwa kuji manage, eti mna mafuta na madini? Unajua nchi ngapi zina similar resources?
Hamna u special wowote huko nje, acheni kujidanganya
Eti wana mafuta wakati hawafiki hata robo kwa Libya na Nigeria.Wanasema wana madini wakati hawafiki hata robo kwa Ghana,Botswana na Afrika Kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…