Balozi zote za Israel duniani kote haziko salama tena kuanzia sasa, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran. Mapigo yatakua nje na ndani

Waislamu mumekuaje na maneno mengi kufungua nyuzi baada ya kila dakika chache, huyo Iran ni mchumba wa Wayahudi.
 
Iv hamas walipovamia israel...waisraeli walipiga mdomo wakipanga siku ya kulipiza au walilipiza on spot
Hizo ni mbinu Iran inatumia kuwapa jamba jamba balozi zote za Israel duniani, hapo hakuna balozi yoyote itakaa kwa amani watakua wanaishi kama digidigi.

Wataishi kwa mashaka na uoga uliokithiri. Muda wote hawana amani wengine kuanzia sasa kazini hawatokwenda wanaifahamu Iran vyema.
 
Na kabla ya vitisho hivi, israel haijawahi kuwa na Amani kutokana na kumuasi Mwenyezi Mungu, wameuwa hadi Mitume wa Mwenyezi Mungu, watu wasio na hatia wanauawa huko palestine n.k!, ushoga pia, walishalaaniwa hao. Halafu kuna wabongo wanawakumbatia, wengine mpaka flags wanaweka kwenye magari/bajaji zao
 
Kwa hiyo wewe ni Nani mpaka uwaamlie watu kitu Cha kukumbatia? Yaani unajipa umuhimu usiyokuwa nao ...wewe na hao unaowasema hamna tofauti Ila tu kila mtu kachagua upande wake
 
Watu wa ajabu sana ninyi, badala kumuunga mtu ambae ameuliwa watu wake, yani nyie ndio kwanzaa mpo na adui namba 1 duniani, ISRAEL, USA, UK N.k

Wapalestina wanauliwa ila cha ajabu mpo na killers

Kweli, Qur’an ilishamaliza kila kitu[emoji116]
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
Maislamu ya ajabu sana wala hayaoni kama hamas ndiye aliyeanzisha haya machafuko au ibilisi kayatia upofu?Jino kwa jino maana yake ukipiga nawe pigwa na ukipigwa nawe piga.
 
Balozi za Iran ndiyo zitakuwa salama!! wakijibiwa mapigo wanadai war crimes genocide, crusade etc etc akili kisoda.
 
Na kabla ya vitisho hivi, israel haijawahi kuwa na Amani kutokana na kumuasi Mwenyezi Mungu, wameuwa hadi Mitume wa Mwenyezi Mungu, watu wasio na hatia wanauawa huko palestine n.k!, ushoga pia, walishalaaniwa hao. Halafu kuna wabongo wanawakumbatia, wengine mpaka flags wanaweka kwenye magari/bajaji zao
Wale akili hawana, kwa hasara waliopitia bado wanaishambulia Iran, sijui wanataka nini?
 
Watu wa ajabu sana ninyi, badala kumuunga mtu ambae ameuliwa watu wake, yani nyie ndio kwanzaa mpo na adui namba 1 duniani, ISRAEL, USA, UK N.k

Wapalestina wanauliwa ila cha ajabu mpo na killers

Kweli, Qur’an ilishamaliza kila kitu👇
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
Muda hakujua kusoma na kuandikwa shida ndo inaanzia hapo
 
Naona sasa Ayatollah anahamu ya kukutana na bikira 72 za Alah.
 
Watu wa ajabu sana ninyi, badala kumuunga mtu ambae ameuliwa watu wake, yani nyie ndio kwanzaa mpo na adui namba 1 duniani, ISRAEL, USA, UK N.k

Wapalestina wanauliwa ila cha ajabu mpo na killers

Kweli, Qur’an ilishamaliza kila kitu[emoji116]
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
Shekh, matatizo yote hapo middle east yameanzia kwenye hiki kitabu cha Kuruani. A very pity and useless book.
 
Third World War Info

-Balozi za Israel duniani kote haziko salama tena, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran Khamenei.

-Licha ya Iran kuendelea kupanga namna itavyoshambulia na kuimaliza Israel, Iran imeongeza tena mipango yake yaapa kulipiza kisasi kushambulia balozi zote za Israel duniani kote.

-Vyombo vya habari vya Ulaya na wachambuzi wanadai kuwa Iran inaweza kulenga maslahi ya US/UK kama vile maslahi ya Israeli katika Ulaya na Ghuba.

-Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amemkashifu Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akiahidi "kumpiga makofi" kwa tuhuma za shambulio la anga nchini Syria.

-Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema Washington imetuma ujumbe Tehran kwamba "haikuhusika" katika shambulio la ubalozi mdogo wa Iran huko Damascus, Syria, na kwamba Iran haipaswi "kutumia shambulio hili kama kisingizio cha kushambulia vikosi na vituo vya Marekani.

Nguvu ya Iran

View attachment 2953628

...

View attachment 2953629
Israel ikijibu mapigo waislamu dunia nzima mnalalamika hii ni Genocide na wayahudi ni wabaya wanaua wanawake na watoto
 
Hizo ni mbinu Iran inatumia kuwapa jamba jamba balozi zote za Israel duniani, hapo hakuna balozi yoyote itakaa kwa amani watakua wanaishi kama digidigi.

Wataishi kwa mashaka na uoga uliokithiri. Muda wote hawana amani wengine kuanzia sasa kazini hawatokwenda wanaifahamu Iran vyema.
Sasa mkuu huoni kama Iran anafanya kosa la kiufundi huwenda adui mwingine wa Israel akaenda lipua balozi moja wapo wa Israel na hapo ndipo Iran atajuta kumfahamu Netanyahu. Nianovyo mimi ni ngumu sana kupigana na vikundi vinavyojificha ficha kwa raia mara kuvaa malapa mara wakati mwingine wanapekua ila ni rahisi mno kuzichapa jeshi kwa jeshi na hapa ndipo naona kabisa Iran ataenda kupata tabu mbele ya Myahudi coz hawa jamaa wanatechnolojia kubwa af wana akili mingi.
 
Na kabla ya vitisho hivi, israel haijawahi kuwa na Amani kutokana na kumuasi Mwenyezi Mungu, wameuwa hadi Mitume wa Mwenyezi Mungu, watu wasio na hatia wanauawa huko palestine n.k!, ushoga pia, walishalaaniwa hao. Halafu kuna wabongo wanawakumbatia, wengine mpaka flags wanaweka kwenye magari/bajaji zao
Kwa ule utulivu Woote mpaka mkaja tibua maji mtungini hapo Oct mlidhani wao sio binadamu kama ninyi? If kama wako vizuri kupambana wajaribu kuutikisa zaid mtungi uliotibuka uone. Huwa nashangaa Sana how come watu waanzishe vita Kwa kushtukiza (ok tuseme military tactics zao) then mje mjifiche nyuma ya raia wenu mkiwa hamna sare maalum? Kama hii vita ili iishe Hamas wavae gwanda zao wajulikane wangapi, kama Iran same na wengineo wakitaka kuingia ili shambulio liwe Kwa wenye sare tu sio Kwa raia or else kila MTU aweke "souvenir" silaha zake Kwa maonyesho ya vizazi vijavyo na kulengea shabaha kambini tu.

Hata hivyo Sipendi vita 😅
 
Unapoona mtu anatoa tathmini namna atavyoshambulia jua anawafahamu vyema adui zake, pia ana-uhakika wa kile anachokwenda kufanya.
Tusubiri
Mtu aneenda kushambulia hasemi wala hatangazi, ni matendo tu yanaonekana
 
Ukiona adui anakupiga mkwara tambua anakuogopa,mwenye nia ukushambulia kimya kimya
 
Third World War Info

-Balozi za Israel duniani kote haziko salama tena, anaonya Kayhan, msemaji wa Kiongozi Mkuu wa Iran Khamenei.

-Licha ya Iran kuendelea kupanga namna itavyoshambulia na kuimaliza Israel, Iran imeongeza tena mipango yake yaapa kulipiza kisasi kushambulia balozi zote za Israel duniani kote.

-Vyombo vya habari vya Ulaya na wachambuzi wanadai kuwa Iran inaweza kulenga maslahi ya US/UK kama vile maslahi ya Israeli katika Ulaya na Ghuba.

-Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amemkashifu Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akiahidi "kumpiga makofi" kwa tuhuma za shambulio la anga nchini Syria.

-Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema Washington imetuma ujumbe Tehran kwamba "haikuhusika" katika shambulio la ubalozi mdogo wa Iran huko Damascus, Syria, na kwamba Iran haipaswi "kutumia shambulio hili kama kisingizio cha kushambulia vikosi na vituo vya Marekani.

Nguvu ya Iran

View attachment 2953628

...

View attachment 2953629
KIongozi mkuu baba Ayatoulla khamein piga rakaa zako mbili za sunnah umlaani shetwan iblis zayun uwafutilie mbali kwenye uso wa dunia ukumbukwe katika maisha yote ya vizazi na vizazi inshaAllah utashinda!
 
Back
Top Bottom