Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Nchi sio yao, ni wavamizi tu, sijui kama unalijua hilo! Na mazayuni hawakuanza oct kuuwa wapalestina, muwe waelewa basiKwa ule utulivu Woote mpaka mkaja tibua maji mtungini hapo Oct mlidhani wao sio binadamu kama ninyi? If kama wako vizuri kupambana wajaribu kuutikisa zaid mtungi uliotibuka uone. Huwa nashangaa Sana how come watu waanzishe vita Kwa kushtukiza (ok tuseme military tactics zao) then mje mjifiche nyuma ya raia wenu mkiwa hamna sare maalum? Kama hii vita ili iishe Hamas wavae gwanda zao wajulikane wangapi, kama Iran same na wengineo wakitaka kuingia ili shambulio liwe Kwa wenye sare tu sio Kwa raia or else kila MTU aweke "souvenir" silaha zake Kwa maonyesho ya vizazi vijavyo na kulengea shabaha kambini tu.
Hata hivyo Sipendi vita 😅