Bananga: Jana nimeongea na Makonda sasa yupo Arusha, amemaliza likizo yake

Je ilikuw ni trick ,ili Hawa waliotumbuliwa wasifikirie kwamba walichomeshwa?..na jamaa
 
Ni jambo jema

Ahsante Shujaa Magufuli
 
Kukaa kujadili kauli za tapeli Bananga ni upotevu wa muda.
Huyo ni yuko katika high stage ya utapeli na kupenda sifa zile za wasio na elimu
 
Makonda kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa hata mwaka haujapita anawezaje kupata likizo ndefu kiasi hicho. Waseme tu alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini ....!!?
Labda utueleze mkuu, likizo ya mwaka kwa watumishi wa umma huwa ni siku ngapi
na yeye kakaa siku ngapi?
 
Huyu wampe makamu mwemyekiti wa chama.
 
Siku nzima hatujamwona bashite
 
Ninachosema hajafikisha mwaka kazini. Inakuwaje wanapata likizo ndfu kiasi hicho!?
Hiyo ni stahili yake ambayo hutolewa na mwajili hata kwa mfanyakazi mpya anayeanza kazi.

Huo utaratibu unaitwa ni mwaka wa likizo ikimaanisha kuwa kuanzia mwezi aliochukua hazi zipite miezi 12 ndiyo mwaka wake wa likizo utakapofika, ie:kama amechukua mwezi Jul, basi hadi Jul tena.

Lakini kuna likizo ya matibabu(sick leave) ambayo hutolewa na mwajili kwa recomendations za daktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…