Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo jemaKatibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake.
Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa wamemzoe kumuana katika majukumu yake.
Soma Pia:
Labda utueleze mkuu, likizo ya mwaka kwa watumishi wa umma huwa ni siku ngapiMakonda kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa hata mwaka haujapita anawezaje kupata likizo ndefu kiasi hicho. Waseme tu alikuwa wapi na alikuwa anafanya nini ....!!?
Kumbe shetani anashindana na shetani?Safi sana,shetani ameshindwa
Sumu kitu gani mkuu .Sumu wamezitoa?
Ninachosema hajafikisha mwaka kazini. Inakuwaje wanapata likizo ndfu kiasi hicho!?Labda utueleze mkuu, likizo ya mwaka kwa watumishi wa umma huwa ni siku ngapi
na yeye kakaa siku ngapi?
Pole sana mkuuSumu kitu gani mkuu .
Mimi niliwekewa vyupa kwenye supu.
Walisaga wakaweka kwenye supu.
Mungu tu.
Wale sio watu kabisa.Pole sana mkuu
Siku nzima hatujamwona bashiteKatibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake.
Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa wamemzoe kumuana katika majukumu yake.
Soma Pia:
Hiyo ni stahili yake ambayo hutolewa na mwajili hata kwa mfanyakazi mpya anayeanza kazi.Ninachosema hajafikisha mwaka kazini. Inakuwaje wanapata likizo ndfu kiasi hicho!?
Ni CCM huko au ulifanyiwa mtaani?Wale sio watu kabisa.
Mtaani tu huko kwa mama lishe.Ni CCM huko au ulifanyiwa mtaani?
Pole sana, dunia hadaa mkuuMtaani tu huko kwa mama lishe.
Nacheki mzigo umejaa vyupa tu. Daah.
Wajinga wale.