BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

Wacha kupelekesha watu bure.

Harakati na siasa ni vitu viwili tofaut sana.
Ni katika hali hiyo,unapokuwa na watu tofauti kwenye majukwaa...
Pia unapata uwakilishi wa hoja na mapokeo tofauti.
Kwa sababu kila mtu anayo kariba tofauti ya kujieleza mbele ya jamii.
Hususan kwenye siasa za majukwaani.

Mwananchi mmojammoja anaweza asimuelewe mhutubiaji "A"..lakini akaja kumuelewa mhutubiaji "B" sababu kila mmoja anayo kariba tofauti ya representation!
 
nyie makuwadi ya warabu dpworld nini kimewafanya msimuone na kumkaribisha.
 
Mwabukusi alilelewa na kukuzwa na Chadema , amekuwa Wakili wa Chadema Mbeya , ni miongoni mwa mawakili wa Joseph Mbilinyi kwenye ile kesi ya uongo aliyobambikiwa na Magufuli na kumfunga Jela .

Kilichotokea ni hiki , James Mbatia baada ya kununuliwa na Magufuli ili kuua Chadema , akamrubuni Mwabukusi kuhamia NCCR MAGEUZI , baada ya Chukizo la Mungu NCCR ikafa , sijui kama bado Mwabukusi yuko NCCR , naishia hapa .
 
Mambo ya usaliti huko upinzani ni mambo ya kawaida sana ,Maana huko kinachoangaliwa ni Tumbo lipokee chochote na kuwa na uhakika wa kupata chochote kile yaani ni usaka Tonge tu ,Ndio maana hakuna mpinzani anayeaminika mbele za watanzania.
 
Leo Yuko Sumbawanga mjini na Mdude Chadema, wamekaribishwa na Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Aida Kenani chini ya uratibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa Bwana Ikuwo. Mkutano wa hadhara viwanja vya Sabato unaanza saa 9 kamili.
 
Watu wa Mbeya wanajitoa kafara sana kwa maslahi ya Wakaskazini. Hivi Mbeya Ina wabunge wangapi wa viti maalumu ndani ya CdM?
 
Chadema iwaalike wote Shivji, Mpina, Slaa, Lukuvi, Bashiru, Polepole, Mwakubusi na NCCR mageuzi, wana CCM wazalendo.

Kiufupi iunganishe nguvu zote za upinzani na wasio na Chama. Nguvu za Watanzania wote kama UKAWA, kama Upinzani Kenya, Zambia, Malawi, Botwana.

Chadema ijikite zaidi kusimamia maslahi ya Taifa na vitu vinavyomuathiri Mtanzania moja kwa moja kama umeme, maji, tozo, kodi, mazingira ya kibiashara, miundombinu, haki, mahakama, Afya, elimu, bunge, serikali, mahakama, Rais wa hovyo.

Kupoteza wafuasi ni kuchukua sera kama maridhiano, kumshambulia JPM, udini, ukanda ukabila kama sera ya Sukuma gang. Ila sera za kuwafurahisha wapinzani wachache waendelee kubaki upinzani milele sio kuchukua nchi.

Ikifanya hivi itachukua nchi. CCM imechokwa, ila hakuna mbadala serious kuunganisha taifa kwa maslahi mapana ya Taifa.
 
Mambo ya usaliti huko upinzani ni mambo ya kawaida sana ,Maana huko kinachoangaliwa ni Tumbo lipokee chochote na kuwa na uhakika wa kupata chochote kile yaani ni usaka Tonge tu ,Ndio maana hakuna mpinzani anayeaminika mbele za watanzania.
Kuhama chama ni haki ya kila mtu , maadam kusiwe na Rushwa ya uongozi ama pesa kama hii ya Lijuakali

 
kumbe naye ni msaliti? mwambukusi hafai kukaribishwa chamani
 
Leo Yuko Sumbawanga mjini na Mdude Chadema, wamekaribishwa na Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Aida Kenani chini ya uratibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Rukwa Bwana Ikuwo. Mkutano wa hadhara viwanja vya Sabato unaanza saa 9 kamili.
Huyo Mwabukusi hana lolote lile zaidi ya Usaka Tonge Tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…