BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

Jana walikosa vyote mbaya zaidi mtoa mada hajaamini na alichokiona licha ya kupiga kelele nyingi hapa jukwaan
Watanzania wa leo wameamka huwezi wadanganya kipumbavu,pili huwezi kuwageuza ngazi ya kupandia,ruzuku mle wenyewe watanzania wajinga muwapeleke mbiombio nyie dubei,ubelgiji,canada, German na wake na watoto wenu.
ITS ENOUGH,KUCHOCHEWA NA KUPELEKESHWA OVYOOVYO!
 
Watanzania wa leo wameamka huwezi wadanganya kipumbavu,pili huwezi kuwageuza ngazi ya kupandia,ruzuku mle wenyewe watanzania wajinga muwapeleke mbiombio nyie dubei,ubelgiji,canada, German na wake na watoto wetu.
ITS ENOUGH,KUCHOCHEWA NA KUPELEKESHWA OVYOOVYO!
Ila serikali yako iliyojaa royal families huoni hilo, awamu ya kwanza watoto wengi wa vigogo hapa Dar,tulisoma nao hapa Mbuyuni, Bunge, muhimbili, Tambaza,Azania, Mkwawa, Leo utawaona Havard, UCT, Wits, UK etc, wewe endelea kulalama humu
 
Prof Kitila anataka Jeshi lipindue nchi ndio tujue kuwa Mkataba wa Dp world ni mbovu?
Hiyo option ya nchi kupinduliwa na jeshi ccm haitilii maanani kabisa wanasahau kuwa when the chips are DOWN Wana jeshi wanakuwa upande wa wananchi walio wengi ; na nyie watawala mnaweza kuliwa vichwa!!!
Fuateni ushasuri wa MWALIMU kuwa muwasikilize watu wanachosema na kutaka msitumie madaraka yenu vibaya. Mmeuza bandari na sasa mnawakimbiza familia zenu kuwahamishia uarabuni, yote hiyo inajulikana hakuna mjinga tena!! Your payback time is not far from now.
 
Nipo hapa ninachojionea ni banda tu la red cross, watanzania sio wajinga na so kila mtu angependa kugeuzwa ngazi za mwanasiasa uchwara,wanasiasa wakiwapata wapuuzi wa kuwasikiliza hufurahi kweli maana ndio mtaji wao!
Wenye macho waliona . .. wewe ishi na propaganda zako mfu !
 
Nipo hapa ninachojionea ni banda tu la red cross, watanzania sio wajinga na so kila mtu angependa kugeuzwa ngazi za mwanasiasa uchwara,wanasiasa wakiwapata wapuuzi wa kuwasikiliza hufurahi kweli maana ndio mtaji wao!
Yani na wewe nae ni sehemu ya hilo banda
 
Yaani hiki kikundi cha magaidi cha buana mbowe kifutwe tu. Matapeli kabisa. Hakuna mtanzania atakayewaamini. Walimdhihaki na kumtusi Dkt Magufuli na kujipendekeza kwa Dkt Samia ila sasa tabia yao halisi ilishajulikana ni wanafiki hawana ajenda ktk nchi hii zaidi ya kupinga kila kitu.
Wew tayari Ni chawa mnyonya damu huwezi kubali mirija izibe
 
Wew tayari Ni chawa mnyonya damu huwezi kubali mirija izibe
Ni magaidi tu na wanafiki wakubwa. Walimdhihaki sana Dkt Magufuli, mpaka kifo chake mlishangilia, hivyo hakuna mtanzania atakaye waelewa wajinga nyie. Mnaanza kutudanganya eti bandari imeuzwa
 
Back
Top Bottom