BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

Morning chadema!!!😂

Jana mlikuwa na jambo lenu pale Temeke vipi mwitikio ukikuwaje? Kuna dalili zozote za mkataba kuvunjwa? Au bado tutegemee jambo lingine?

Tangu jana sijaona kelele humu kupo kimya na leo morning sioni kelele zenu au ndio kuchoka na kupayuka sana bila mafanikio?

Kuna maziwa hapa muje munywe kusuuza koo kidogo mpaka hapo mjue kuwa watz hawashikwi akili tena

I
 
Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Huenda wewe ni mwandishi wa habari wa uhuru media, jamvi la habari na machinations. Uwezo wenu wa vitu kama hivi ni mdogo sana
 
Hongera,chadema.
IMG_20230724_071454_916.jpg
 
Usidode kwa nini wakati lilikuwa kongamano la ibilisi!
Barua ya katazo la mkutano ya msajili wa vyama vya siasa tishio la sheikh Mwaipopo na hujuma kadha wa kadha ni factors muhimu pia. Hata hivo upo ujumbe umewafikia watu, chumvi huwa ni ndogo kuliko mboga lakini...
 
Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Zitto hivi ni mpinzani!?
 
Haikusaidii lolote. Leo hii na digital world hakuna wa kumdanganya. Watu tumeangalia live streaming na kuuona Ukweli wa Mungu! mavi yako
Qui qui qui 😁😁😁😁leo ndio mnajifanya mambo digital,kama mambo ni digital kulikuwa na haja gani ya kutangaza kusanyiko badala ya kukaa sebuleni na kuchukuwa video au nyie wa digital/mliokosa wahudhuriaji mnaita (live stream)😈😈😈
 
Pole san mlinda legacy!!
Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
 
Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Yaani hiki kikundi cha magaidi cha buana mbowe kifutwe tu. Matapeli kabisa. Hakuna mtanzania atakayewaamini. Walimdhihaki na kumtusi Dkt Magufuli na kujipendekeza kwa Dkt Samia ila sasa tabia yao halisi ilishajulikana ni wanafiki hawana ajenda ktk nchi hii zaidi ya kupinga kila kitu.
 
Safi sana
Viva CHADEMA!, Viva Tanganyika!
Lazima kieleweke
Aibu yao serikali, Polisi, na CCM
hili suala la bandari sio la chadema , usilete uchama kwenye Jambo kubwa Kama hili. Ni Jambo la watanganyika wote , wenye vyama na wasio na vyama , wenye dini na wasio na dini , wenye makabila na wasio na makabila. Omba radhi tafadhalli.
 
Nipo hapa ninachojionea ni banda tu la red cross, watanzania sio wajinga na so kila mtu angependa kugeuzwa ngazi za mwanasiasa uchwara,wanasiasa wakiwapata wapuuzi wa kuwasikiliza hufurahi kweli maana ndio mtaji wao!
Jana walikosa vyote mbaya zaidi mtoa mada hajaamini na alichokiona licha ya kupiga kelele nyingi hapa jukwaan
 
Back
Top Bottom