BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

.
Screenshot_2023-07-23-21-34-54-725_com.instagram.android.jpg
 
Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
sheikh mwaipopo karibu kitimoto mdau wetuu wa kila siku
 
Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Uliipataje hiyo takwimu wewe?
 
Hakuna chama hapa, Zito aligoma, Lipumba aligoma, watu walikuwa wachache mno, nilikuwepo nikiangalia utumbo wao, nilipoona napoteza muda nikaondoka zangu, mkutano umejaa udini kuliko siasa.Wakatoliki walijazana t pale Bulyaga wakieneza neno la mungu
Uzuri ni kwamba JF imeenea dunia nzima Kwa maana hiyo hata Tanzania iko Kila mahali. Tunajua vizuri mikutano ya CCM kuhusu DPW inavyofanyika. Niko hapa kwangu Mafinga lakini wiki juzi watu walisombwa hapa kupelekwa Mbeya kwenye mkutano wa Chongolo uliohutubiwa pia na Tulia na Wasira. Watu walitolewa Hadi Rukwa na Songwe halafu unajifanya kuongelea Mkutano uliofanikiwa kimkakati pale Bulyaga?
 
Ujinga. UONGO!
✓Askofu wa Kanisa Katoliki Severin Niwemugiizi alimkosoa sana Magufuli (Mkatoliki mwenzie), akaambiwa siyo raia!
✓Askofu Kakobe alimkosoa sana Magu, TRA wakatumwa kumpekua.
✓Askofu Gwajima alimkosoa sana Magu akabambikiwa kesi ya uongo na akapimwa mkojo!
✓Askofu Mwamakula alimkosoa Magu juu ya utekaji, ubambikaji kesi, nk.
✓Askofu Mwingira alimkosoa Magu..
nk, nk, nk..

Hivyo, hizi porojo kuwa Samia anakosolewa kwa sababu ya dini ni hila, uzushi, uzandiki, utapeli wa ccm kudanganya wajinga!
Yaani wahurumie tu! CCM propaganda ni nyingi sana!
 
Matokeo ya kumponda JPM enzi za uhai wake na hata alipofariki ndio haya. CHADEMA kwa sasa hawana kibali cha kupinga ufisadi sababu enzi JPM anapambana na huo ufisadi walimpinga na kumuita dictator, wakamuacha apambane mwenyewe akishirikiana na wananchi.

Leo hii huwezi kupinga ufisadi wa nchi hii bila kumnukuu JPM kitu ambacho CHADEMA hawawezi kufanya. Ni bora chama kipya chenye vinasaba vya kupigana na ufisadi serious kianzishwe maana wananchi wengi wanaona CHADEMA na CCM ni wale wale maana wengi wao walikuwa against JPM. Binafsi naami mkutano ungeitishwa na SAUTI ya wananchi ungehudhuriwa na watu wengi kuliko ule wa jana ambao ulibebwa na CHADEMA. Kiufupi wafuasi wa JPM ambao ndio wengi hawezi ungana na CHADEMA ni bora wabaki CCM.
 
Back
Top Bottom