Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Mkutano wa kutetea majizi bandariniMateja sio watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkutano wa kutetea majizi bandariniMateja sio watu?
Mkutano wa kutetea majizi bandariniSafi sana hii najiandaa kuelekea uwanjani eeeh Mungu tusaidie hili suala lishindwe
Aibu tupu! Hata kuweka picha,weka picha
Mikutano ya kutetea majizi bandarini"WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA,MATOKEA NI KUUJUTIA MUDA WALIOUPOTEZA"
Wanajikamatisha wenyeweMajizi ukayakamate.
mkuu upo eneo la tukio? au una umeambiwa na mtu.Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke , lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga , ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za Tanganyika , watu wameanza kufurika .
Awali kuna Mamluki wakiongozwa na Maulid Kitenge au "KITENGE DP" kama anavyofahamika sasa , walisambaza uzushi wa kwamba Msajili wa Vyama vya siasa , Francis Mutungi , amezuia Mkutano huo , lengo la Mamluki hawa lilikuwa kuwachanganya wananchi ili wasihudhurie , hata hivyo kama tunavyosema siku zote kwamba SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU , ndicho kilichotokea
Vikundi vya kutumbuiza wananchi tayari viko jukwaani , awali watu wa Afya (Red cross) walishafika viwanjani mapema asubuhi
View attachment 2696905
HAYA MAJITU HAYAJITAMBUI KABISA.Mikutano ya kutetea majizi bandarini
Kwahiyo wewe ni mmoja wa watanzania wajinga! Mbona umewahi siti ya mbele.Nipo hapa ninachojionea ni banda tu la red cross, watanzania sio wajinga na so kila mtu angependa kugeuzwa ngazi za mwanasiasa uchwara,wanasiasa wakiwapata wapuuzi wa kuwasikiliza hufurahi kweli maana ndio mtaji wao!
Unluckly ofisi zangu zipo Jirani hivyo nauna maujinga Yote!Kwahiyo wewe ni mmoja wa watanzania wajinga! Mbona umewahi siti ya mbele.
CHADEMA Wana Mkurugenzi pale bandarini?Mikutano ya kutetea majizi bandarini.
Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya.Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke , lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga , ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za Tanganyika , watu wameanza kufurika .
Awali kuna Mamluki wakiongozwa na Maulid Kitenge au "KITENGE DP" kama anavyofahamika sasa , walisambaza uzushi wa kwamba Msajili wa Vyama vya siasa , Francis Mutungi , amezuia Mkutano huo , lengo la Mamluki hawa lilikuwa kuwachanganya wananchi ili wasihudhurie , hata hivyo kama tunavyosema siku zote kwamba SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU , ndicho kilichotokea
Vikundi vya kutumbuiza wananchi tayari viko jukwaani , awali watu wa Afya (Red cross) walishafika viwanjani mapema asubuhi
View attachment 2696905
Hakuna live stream mazee?Leo ni siku ya kusikiliza points. CCM wataufyata mkia kama mbwa koko