Nondo kali zinashusha hapa viwanja vya Bulyaga Temeke kuhusu yanayoweza kuongeza ufanisi bandarini na nje ya bandari hadi mzigo umfikie mlaji kwa wakati muafaka bila ulazima wa kuigawa bandari na vichochoro vyake kwa DP World.
Tkukumbuke moja ya bandari zinazohusishwa na kuchukuliwa bure na DP World yaani bandari ya Dar es Salaam ipo katika wilaya ya Temeke nchini Tanzania huku maghala yaliyotapatakaa pembezoni ya barabara ya Mandela Express Way pia yapo wilaya ya Temeke na yanamilikiwa na kampuni nyingi za uchukuzi na ugavi za waTanzania na maeneo yao yanazengewa na DP World.