BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

CHUNGENI NDIMI ZENU,SHERIA ZIPO NI VILE TU TUNAZIPUUZA.
Mkitoka huko kusikiliza waropokaji pitieni uwanja wa taifa mkapate na kuona Yale yaliyo mazuri na kwa usalama wenu pia.
Ni kweli kabisa, hata wakati wa chaguzi huwa tunaona mkivunja sheria na kuingiza mabox yaliyojaa kura fake.
 
Nipo hapa ninachojionea ni banda tu la red cross, watanzania sio wajinga na so kila mtu angependa kugeuzwa ngazi za mwanasiasa uchwara,wanasiasa wakiwapata wapuuzi wa kuwasikiliza hufurahi kweli maana ndio mtaji wao!
Hujitambui braza nyie pambaneni na walimu wajinga mnaowapelekeshwa kama Green guard yenu
 
Kutoka viwanja vya Bulyaga Temeke jijini Dar es Salaam, katibu mkuu John John Mnyika sasa anamkaribisha mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikaeli Mbowe kuhutubia wananchi

1690122313977.png

Wananchi wa Temeke ambapo kuna bandari ya Dar es Salaam iliyo mbioni kupewa Dubai wanyoonsha mikono juu kupinga bandari kupewa DP World kwa mkataba mbovu
 
Ujumbe wasambaa kuhusu suala la Bandari Yetu kupitia jumbe za Haki, Uhuru wa Wananchi, Demokrasia na Maendeleo ya watu
 
Kenge wako Kilimanjaro tu huku Kuna watu

USSR
 
Back
Top Bottom