BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

Ni kama hawasomi alama za nyakati kuwa siasa ni logistics siyo propaganda pekee yake. Waliuandaa huu mkutano kwa mbwembwe nyingi kama wapo kwenye Jukwaa la Maria Spaces lakini hali imekuwa tofauti. Wale waliowatangazwa kuwepo hawapo na watu pia hakuna.

Jana waliaandaa vipeperushi feki kuhadaa umma mkutano umepigwa marufuku na msajili wa vyama vya siasa. Vijana wa BAVICHA wakashambulia gari la Mwananchi media, leo wapo peke yao uwanjani.

Wajifunze kwa yale yaliomkuta Eliyatonga Augustine Mrema, yanakwenda kujirudia kwao. Picha hizi hapa zinajieleza wazi.

View attachment 2696990
View attachment 2696992

Picha zaidi muda huu wakielekea kufunga mkutano. View attachment 2697107
View attachment 2697108
Asante kwa kutufahamisha.
 
Dunia ya kidijitali mkutano huo wa Bulyaga Temeke unafuatiliwa ndani ya wilaya zote za Tanganyika na ulimwengu kwa ujumla na ujumbe kuwa Bandari Yetu Haiuzwi utakuwa na digital print ya milele ktk majukwaa ya kijiditali

Mfano yanyayojiri viwanja vya Bulyaga kwa ujumla wake yatatizamwa na watu zaidi ya 100,000 ndani ya Tanzania na ni idadi kubwa zaidi kuliko wanaohudhuria mikutano ya hadhara ya CCM ya katibu mkuu Chongolo na watu hao zaidi ya 100,000 wa Bandari Yetu wataendelea kuyazungumza ktk nyumba, vijiwe na mitaa yao kote Tanzania
Sio kweli,uongo
 
Mko wapi nyie Kenge mlosema mkutano hautojaza?

Wafuasi wa chief mangungo hangaya mna matatizo ya akili sio bure

Kwa mafuriko yale yamewafunga midomo wajinga ninyi

Mnaendelea kuchizika na mtachizika nyie mafisiem!!
Weka picha, maneno matupu hayasaidii
 
Mko wapi nyie Kenge mlosema mkutano hautojaza?

Wafuasi wa chief mangungo hangaya mna matatizo ya akili sio bure

Kwa mafuriko yale yamewafunga midomo wajinga ninyi

Mnaendelea kuchizika na mtachizika nyie mafisiem!!
Picha ?
 
Mko wapi nyie Kenge mlosema mkutano hautojaza?

Wafuasi wa chief mangungo hangaya mna matatizo ya akili sio bure

Kwa mafuriko yale yamewafunga midomo wajinga ninyi

Mnaendelea kuchizika na mtachizika nyie mafisiem!!
Majizi yanateteana
 
Aiseee hili kongomano la injili limedoda kabisa yaani watanzania wamewapuuza maaskofu njaa.
 
Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke , lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga , ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za Tanganyika , watu wameanza kufurika .

Awali kuna Mamluki wakiongozwa na Maulid Kitenge au "KITENGE DP" kama anavyofahamika sasa , walisambaza uzushi wa kwamba Msajili wa Vyama vya siasa , Francis Mutungi , amezuia Mkutano huo , lengo la Mamluki hawa lilikuwa kuwachanganya wananchi ili wasihudhurie , hata hivyo kama tunavyosema siku zote kwamba SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU , ndicho kilichotokea

Vikundi vya kutumbuiza wananchi tayari viko jukwaani , awali watu wa Afya (Red cross) walishafika viwanjani mapema asubuhi

View attachment 2696905


Updates
=======
Baba Askofu Mwamakula atoa siri kwamba wao kama viongozi wa dini wanajua mambo mengi kuhusu mkataba huu ndio maana wanaukataa , anasema ni vema tukauvunja sasa badala ya kusubiri yatukute ya Djibout .

Watu ni wengi mno ! Maagizo ya Mwaipopo yamegonga mwamba

View attachment 2697017
Ongeza picha basi
 
Back
Top Bottom