Sisisote ni wanasiasa ukiwemo na wewe ukisema wanasiasa inatubidi dukupuize na wewe kwasababu unaongea mambo ya siasa. Siasa ni maishaNipo hapa ninachojionea ni banda tu la red cross, watanzania sio wajinga na so kila mtu angependa kugeuzwa ngazi za mwanasiasa uchwara,wanasiasa wakiwapata wapuuzi wa kuwasikiliza hufurahi kweli maana ndio mtaji wao!
Ukisema maji hayatoki hiyo nisiasa. Ukisema watu wasiibe hiyo nisiasa. Ukisema tupendane hiyo nisiasa. Ukisema watu wanaiba hiyo nisiasa. Ukisema viongozi watuongoze katikamisingi ya amani hiyo pia nisiasa. Tukitaka kujitoa kwenye siasa inatubidi tuwe mabubu tusiongee chochote hapo tutakuwa tumejitenga na siasa