Hana tofauti na Polepole wakihongwa ubalozi tu wanafunga midomo yao mpaka watakapofukuzwa ndio wanaanza tena kujifanya wanauchungu na Nchi.
Dr Slaa, Marando, Freeman Three the hard way ( Jimmy Kelly, Jimmy Brown & Fred Williamson)

Hiyo ndio Chadema inayowamiliki Covid 19
 
Pamoja na yote hayo watanzania tumekaa tu kimya tukipigania nchi mtandaoni!!

Hii nchi sijui tumerogwa !! Mimi huwa sielewi kabisa kwann watanzania tupo hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mimi hapa mleta mada

Mkuu umeupitia mkataba vizur?
 
 
Hata saa mbovu huwa inakuwa sahihi mara moja kwa siku. Dr Mihogo kasema kweli tupu.
 
Sasa hivi yenyewe kuna watu huko twitter wanamuunganisha Raisi wangu mpendwa Samia na Waarabu wa Loliondo.
Halafu loliondo kila akikaa waziri wa pwani linalipuka...akitoka akiletwa mwingine husikii kabisa..
Alikaa Shamsa Mwangunga ilikuwa balaa ..Hadi wamasai wakapewa nauli kuja Dar kuandamana..akaja Philip Maige...kukatulia kabisa..kama hakuna tatizo...
 
Wewe utakuwa mpambavu au kwa makusudi unatetea upumbavu

Huyo mama ameuza nchi ni fisadi hafai hata kidogo

Ameenda uarabuni kusalimia mikataba ya hovyo

Mshangilieni nyie wajinga
 
Slaa ameongea ukweli wa wazi. Naona wazanzibari mnazidi kuhamaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…