mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Tofautisha Warabu wa kujenga Bwana na wakupewa bandari kuendesha, hawa wa bwawa wamepewa Kazi ya kujenga Bwawa wakimaliza wanaondoka mali inabaki kwa Tanganyika, hawa Warabu wa Dubai wanapewa bandari kuendesha na mkataba hauna ukomo na na sio bandari za bahari tu hata za mito na maziwa nazo wanachukua huu ni ujinga kufananisha Warabu wa kujenga Bwawa na hawa Warabu wa Dubai.Miaka inavyokwenda utakuja kusikia ni Samia ndo aliowaleta waarabu wa Bwawa ...
Usimtishe Babu, dangerous times ilikuwa awamu ya tano ambayo Slaa alipewa kibuyu cha asali cha ubalozi ili ku keep quiet na alikinyonya kwa utulivu, wakati Wapinzani wakiteswa kuuwawa na kutekwa na kupotezwa.Take care of your self Mzee Dr. Slaa, tunaishi dangerous times kuwahi kutokea katika nchi yetu, kwa mara ya kwanza hatujui who is ruling us, jichunge sana Mzee wetu, …
Slaa ana chuki na viongozi waislam,mnafiki huyoBalozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World.
=======
Labda hao pia ni wachache sana lkn hawa wa huku hapana.Yule Iron lady wa Uingereza Raisi Aleen Johnson
Si tunapambana lakiniUsitucheke sisi wtz ni watu wa hovyo sana. Huo ndio ukweli. Au nasema uongo ndugu zangu?
Unapomuongelea Dr Slaa na CHADEMA huwezi ondoa hoja ya ufisadi wa Lowasa. Ukiwaunganisha Hao watatu ndio unapata tukio kubwa kuwahi kutokea kwa upinzani TZ 2015 ( Gia ya angani)Hiyo hoja imeshakuwa debunked.
Usimtishe Babu, dangerous times ilikuwa awamu ya tano ambayo Slaa alipewa kibuyu cha asali cha ubalozi ili ku keep quiet.
Wanawake wakipewa fursa wanaweza.Labda hao pia ni wachache sana lkn hawa wa huku hapana.
Hakuna wanachoweza. Angalia situation tuliyopo sasa!Wanawake wakipewa fursa wanaweza.
Mimi hapa mleta mada
Mkuu umeupitia mkataba vizur?
Kuchukua mikopo ya Biashara yenye riba kubwa nikuuza nchi piaAwamu ya 5 hakikuuza nchi yetu, na aliyetuongoza tulimjua, sasa hivi hatujui nani anatutawala, pure evil!
Situation gani?Hakuna wanachoweza. Angalia situation tuliyopo sasa!
Ukweli humuweka mtu huruBalozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World.
=======
Una maana hujui nchi yako ilishauzwa!?Situation gani?
Hata mimi nimeona wapigaji ni wengi na mama ameona kupambana nao ni ngumu maana wengi ni vigogo hivyo akaona dawa ni kumpa mwekezaji big up mama.Anayepinga uwekezaji wa bandari ni adui wa maendeleo. Mmeendesha bandari wenyewe miaka yote bila tija yeyote zaidi ya rushwa na urasimu tu. Maza akimaliza bandari zifuate airports wape wanaojua wanachokifanya na wenye nyezo za kazi.
Acha kupotosha.Una maana hujui nchi yako ilishauzwa!?
HUYU NDIO DR.SLAA wa CHADEMA HONGERA SANA DR.SLAABalozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World.
=======
Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe makubaliano ya awali yalifanyika tarehe 28
Kama yeye hakuwa sahihi kumkataa Lowassa na wenzie waliobariki walikuwa sahihi imekuaje upinzani ukakosa nguvu wakati waliobakia upinzani walikuwa sahihi?NIlimdharau sana huyu jamaa kwa ile move ya 2015, na nina imani ndiye aliyesababisha upinzani uzorote sana na nina imani analijua hilo hata yeye