mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Tofautisha Warabu wa kujenga Bwana na wakupewa bandari kuendesha, hawa wa bwawa wamepewa Kazi ya kujenga Bwawa wakimaliza wanaondoka mali inabaki kwa Tanganyika, hawa Warabu wa Dubai wanapewa bandari kuendesha na mkataba hauna ukomo na na sio bandari za bahari tu hata za mito na maziwa nazo wanachukua huu ni ujinga kufananisha Warabu wa kujenga Bwawa na hawa Warabu wa Dubai.Miaka inavyokwenda utakuja kusikia ni Samia ndo aliowaleta waarabu wa Bwawa ...