Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi
Miaka inavyokwenda utakuja kusikia ni Samia ndo aliowaleta waarabu wa Bwawa ...
Tofautisha Warabu wa kujenga Bwana na wakupewa bandari kuendesha, hawa wa bwawa wamepewa Kazi ya kujenga Bwawa wakimaliza wanaondoka mali inabaki kwa Tanganyika, hawa Warabu wa Dubai wanapewa bandari kuendesha na mkataba hauna ukomo na na sio bandari za bahari tu hata za mito na maziwa nazo wanachukua huu ni ujinga kufananisha Warabu wa kujenga Bwawa na hawa Warabu wa Dubai.
 
Take care of your self Mzee Dr. Slaa, tunaishi dangerous times kuwahi kutokea katika nchi yetu, kwa mara ya kwanza hatujui who is ruling us, jichunge sana Mzee wetu, …
Usimtishe Babu, dangerous times ilikuwa awamu ya tano ambayo Slaa alipewa kibuyu cha asali cha ubalozi ili ku keep quiet na alikinyonya kwa utulivu, wakati Wapinzani wakiteswa kuuwawa na kutekwa na kupotezwa.

Leo hii amemuibukia Samia kwasababu ya kutoswa.
 
Huyu akiongea hata sisi Wana ccm tunamwelewa!

Hiyo ni sauti ya wengi!

Asiongee mwanaccm labda ataje neno katiba mpya!hapo nitamwelewa!

Kilichofanyika na samiah ni kile kile cha miaka yote sio kipya!hao marais waliopita nao waliuza sema vingine hatujui waliuza NINI!!?
 
Awamu ya 5 hakikuuza nchi yetu, na aliyetuongoza tulimjua, sasa hivi hatujui nani anatutawala, pure evil!
Kuchukua mikopo ya Biashara yenye riba kubwa nikuuza nchi pia

Sasa hivi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa na Raisi Samia Suluhu Hassan vua hiyo mawani ya twitter.
 
Godman I don't support mkataba mbovu. Ila kupinga uwekezaji kisa tu ni kampuni ya nje ni ujinga. Mkataba upitiwa kwa kina na uwazi.
 
Anayepinga uwekezaji wa bandari ni adui wa maendeleo. Mmeendesha bandari wenyewe miaka yote bila tija yeyote zaidi ya rushwa na urasimu tu. Maza akimaliza bandari zifuate airports wape wanaojua wanachokifanya na wenye nyezo za kazi.
Hata mimi nimeona wapigaji ni wengi na mama ameona kupambana nao ni ngumu maana wengi ni vigogo hivyo akaona dawa ni kumpa mwekezaji big up mama.
 
Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World.

=======

Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe makubaliano ya awali yalifanyika tarehe 28
HUYU NDIO DR.SLAA wa CHADEMA HONGERA SANA DR.SLAA
 
NIlimdharau sana huyu jamaa kwa ile move ya 2015, na nina imani ndiye aliyesababisha upinzani uzorote sana na nina imani analijua hilo hata yeye
Kama yeye hakuwa sahihi kumkataa Lowassa na wenzie waliobariki walikuwa sahihi imekuaje upinzani ukakosa nguvu wakati waliobakia upinzani walikuwa sahihi?

Hapo ndipo utajua ukweli una nguvu siku zote, na mwisho wa siku ukweli hujitetea wenyewe na kujidhihirisha baada ya muda wa mihemko kupita na muda wa ukweli unapo wadia.
 
Back
Top Bottom