Slaaa kaongea pointi za msingi sana.
Yaani Mkataba wanaweka mapendelezo yao tu na sisi tuseme tu ndio ndio.
Mkataba uangaliwe upya na watu makini.
1. Kama utakuwa na tija DPW wapewa Bandari moja tu. Mfano ya Daresalaam.
2. Baada ya ujenzi wa miundombinu yao wapewe miaka 30 kwanza.
3. Ulinzi na Usalama wa Bandarini uwe chini ya vyombo vyetu vya ulinzi.
4.Wakifanya vizuri wanaweza kuongezewa mkataba, na hata kupewa Bandari ya pili.
5. Kila kitengo cha Mradi lazima wawe Watanganyika kama wafanyakazi.
Mikataba ya akina Chief Mangungo haikubaliki katika Karne hii.